Anti-tozo Senior Member Joined May 23, 2015 Posts 113 Reaction score 91 Mar 29, 2025 #1 Karibuni tujadiri bhana Your browser is not able to display this video.
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,560 Reaction score 20,419 Mar 29, 2025 #2 Kuumiza ego ya polisi. Atachiwa tu
UMUGHAKA JF-Expert Member Joined Sep 1, 2021 Posts 3,131 Reaction score 14,345 Mar 29, 2025 #3 POLISI siku zote hawana akili timamu!
The redemeer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2025 Posts 4,778 Reaction score 8,204 Mar 29, 2025 #4 Hana kosa ataachiwa anakwenda kupumzika we uoni kalewa
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,432 Mar 29, 2025 #5 Kwahiyo ameshikwa kwasababu ya kusema kwamba kwanini maji hayatoki?😮💨
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 44,935 Reaction score 36,849 Mar 29, 2025 #6 Anti-tozo said: Karibuni tujadiri bhana. Click to expand... infact, wachochezi na wapandikiza chuki kwa wanainchi, hawastahili kuachwa watambe hata sekunde moja, miongni mwa jamii iliyostaarabika. Ni vizuri kua wastaarabu na kujiepusha na usumbufu kwa wasiohitaji makelele yako 🐒
Anti-tozo said: Karibuni tujadiri bhana. Click to expand... infact, wachochezi na wapandikiza chuki kwa wanainchi, hawastahili kuachwa watambe hata sekunde moja, miongni mwa jamii iliyostaarabika. Ni vizuri kua wastaarabu na kujiepusha na usumbufu kwa wasiohitaji makelele yako 🐒
K kitorori Senior Member Joined Sep 11, 2024 Posts 168 Reaction score 292 Mar 29, 2025 #7 Sasa km polisi yeye maji yanatoka Kila siku hizo SI ni kelele kwake
Killing machine JF-Expert Member Joined Jul 24, 2022 Posts 2,396 Reaction score 3,436 Mar 29, 2025 #8 Anti-tozo said: Karibuni tujadiri bhana View attachment 3286914 Click to expand... Kamtukana boss af Hana Hela😆😆
Anti-tozo said: Karibuni tujadiri bhana View attachment 3286914 Click to expand... Kamtukana boss af Hana Hela😆😆
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,432 Mar 29, 2025 #9 Wakuu,hii Serikali ya CCM imeshindwa, kama hujui Wilaya ya Sengerema iko kwenye Ziwa kubwa kabisa la Maji baridi katika Afrika. Sasa kama hao huko Ziwani hawapati maji ni vipi hawa Wagogo wa Central Tanzania na Singida wapate Maji?!
Wakuu,hii Serikali ya CCM imeshindwa, kama hujui Wilaya ya Sengerema iko kwenye Ziwa kubwa kabisa la Maji baridi katika Afrika. Sasa kama hao huko Ziwani hawapati maji ni vipi hawa Wagogo wa Central Tanzania na Singida wapate Maji?!