Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna wakati taifa linafika mahali ambapo ukimya unakuwa ushiriki katika mateso. Leo, maelfu ya Watanzania wanashuhudia jambo ambalo linaumiza mioyo yao kila siku. Wazazi wetu, wale waliotulea kwa...
6 Reactions
12 Replies
262 Views
Tujikumbushe Mchungaji Mtikila na Unyani APEDOMIA. Ukiona Mtanganyika hajali Utu wa Mtanganyika mwenzake kwa sababu ya pesa, cheo ndio UNYANI-APEDOMIA Ukiona Mtanganyika Unauza utu wake na...
1 Reactions
4 Replies
114 Views
Anajifanya kuwa very critic juu ya uongozi mbovu wa rais Samia na serikali inayosadikiwa ya kifisadi. Lakini yeye huko nyuma alikuwa mnufaika wa ufisadi wa CCM akapokea bil mbili akaita ni pesa...
3 Reactions
80 Replies
1K Views
Alikuwa adui kweli wa ndugu wanaompinga (yaani wapinzani) alifanya kila namna kuwaua alivunja hata utamaduni wa kindugu wa kukutana Kwa tangazo haramu la kuzuia ndugu kukutana hadharani na hata...
57 Reactions
223 Replies
11K Views
Sisi watu wa Tanganyika ni ama hatuna akili na hatujitambui hata kidogo au tunajizima tu data ilimradi liende kwamba hatujipendi. Fikiria kuwa Zanzibar ina majimbo 54 ya uchaguzi. Katika majimbo...
10 Reactions
23 Replies
515 Views
Ukipita mitandaoni, sehemu mbalimbali mitaani, iwe mijini na vijijini, lawama za watanzania wengi zimekuwa zikielekezwa kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwamba ina uonevu mkubwa kwa...
2 Reactions
113 Replies
3K Views
My Take Ukigawa Bajeti ya Mainland Tanzania ya 62T Kwa idadi ya Mikoa 26 ya Tanzania unapata wastani wa 2.4T vs Zanzibar 8.5T. Ni wazi Zanzibar Ina maendeleo kuliko Tanzania Bara,huku Kuna kazi...
1 Reactions
9 Replies
259 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akishiriki Kikao cha 54 cha Mkutano wa Tatu wa Bunge la Kumi na Tatu, jijini Dodoma, leo Jumatatu, Juni 22, 2026.
2 Reactions
16 Replies
201 Views
Hamjambo! Dola ili isimame inahitaji mambo makuu matatu; 1) Mfalme/Rais. Huyu atakuwa kiongozi anayeonekana kwenye utawala. Ambapo atakuwa na mamlaka yanayoonekana lakini haimaanishi mamlaka...
0 Reactions
20 Replies
403 Views
Boda boda sio sifa ni uchafu na umasikini mkubwa. Hatuwezi kama nchi kutegemea usafiri kwa madereva holela wa pikipiki ambao hawafuati sheria, pikipiki hazijatengenezwa kwa lengo la kubebea watu...
13 Reactions
63 Replies
829 Views
Kuna vitu mpaka unajiuliza hivi hawa wapinzani uchwara wanavuta bangi ya Msumbiji, Malawi au hii hii ya Arusha. Katiba mpya sawa . Mnazunguka kudai katiba mpya. Kwenye madai kuna pande 3 . 1...
0 Reactions
12 Replies
170 Views
Ni aibu kubwa kwa mtu kuongoza taasisi kubwa halafu anakuwa ana kesha ana tweet idiotic post kwa umma. Ma advocate tulikosea sana nadhani ni hizi elimu za kukariri tunashindwa kuwa ma critical...
2 Reactions
46 Replies
780 Views
Habari zenu wakongwe! Kwa wale wakongwe ndani ya jukwaa hili ninaamini wananifahamu vizuri sana! Tarehe 29 Julai 2023 niliandika andiko lenye kichwa cha habari kinachosema, "Kwa Rais huyu, CCM...
23 Reactions
61 Replies
1K Views
kwa miaka mingi tume co exist kawaida kushea mbuga hii special duniani, Upande wao inaitwa Masai Mara upande wetu inaitwa Serengeti. watalii wao walishukia Nairobi, wetu wanashukia KIA, Baada ya...
2 Reactions
36 Replies
505 Views
Hili Kundi linaloendesha shughuli zake za Kisiasa-Kiislamu kwa Mrengo wa Uislam, ndio lile lile ambalo Magufuli alilipiga Pini . Hili Kundi ni lazima tuliweke Wazi, Dunia ilitazame. Hatupaswi...
11 Reactions
26 Replies
306 Views
Hizi ni fedha zake au za serikali? Kutoa taarifa za waarifu ni wajibu WA kila raia Ukiona. Hazitoki basi kaa kimnya yulozana
0 Reactions
3 Replies
62 Views
Mpina: Serikali haiwezi kuaminika tena, imesaini mikataba ya siri ya Bandari, NHC, Ngorongoro, TFS, Makaa ya Mawe bila kibali cha Bunge
2 Reactions
7 Replies
186 Views
Anaandika Robert Heriel Mtibeli Post zilizopita nilisema serikali au mtu hutawaliwa na kwa kutumia mambo matatu. Yaani ili serikali yeyote dunia iongoze hutumia. Mambo haya matatu; a) Hofu Kile...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Mara baada ya kuisikia CV ya Marehemu SACP Richard Abwao (RiP) ndio natambua kwa nini ni mtu mwema sana na aliyetendea haki nafasi yake. Kumbe kupoa kwa hekaheka za Mikoa ya Simiyu,Shinyanga na...
0 Reactions
4 Replies
148 Views
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina akizungumza na Wanahabari leo Juni 23, 2026 wakati wa kuchambua Bajeti ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2026/27.
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…