Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mara baada ya Hayati Magufuli kufariki Kuna msemo maarufu uliibuka mitaani kwa wale wafuasi wa Chadema na walamba asali kila lililofanywa walishangilia sana. Sabaya alivyokamatwa walishangilia...
16 Reactions
40 Replies
3K Views
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula ameweka wazi kuwa hakuna kundi linaloitwa Sukuma Gang bali ni wahuni wachache wameamua kutengeneza syndicate ya kuchafua watu wa Kanda ya Ziwa. "Sukuma Gang...
9 Reactions
58 Replies
3K Views
FAMILIA ya WATU WAZURI HAWAFI baada ya Rais Samia kuingia madarakani ilimtengezea kitu kinaitwa SUKUMA GANG kwa lengo la kumtenganisha na watu wote waliowahi kufanya kazi kwa uadilifu na matokeo...
11 Reactions
47 Replies
4K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala hizi za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hizileta kwa mfumo wa swali fikirishi na mimi kutoa tuu maoni yangu lakini kukupa wewe...
35 Reactions
356 Replies
15K Views
Chanzo cha shida tuliyonayo imeanzia kwenye hotuba hii. Hebu tuitishe mjadala ili kuona kama Lissu anaonewa au la https://youtu.be/KkIZj15NurU?si=zN6x4rY-kxSb1w8X
5 Reactions
12 Replies
241 Views
Sukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu. Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano...
20 Reactions
83 Replies
6K Views
Wakuu kwema, Mungu mwema siku zote na amani na haki ikawe nyoyoni mwenu Rejea mada tajwa hapo juu. Wahuni uzeeka pia, wazee kama Wasira ni janga kuu katika taifa huwezi kuwa kiongozi halafu...
13 Reactions
20 Replies
345 Views
Wanabodi, Information is power!, kitendo cha kumjua rais wa Tanzania wa mwaka 2030, kinakupa powers za kujua nchi inapoelekea, kwasababu unakuwa unajua tunakwenda kumpata rais wa namnagani...
9 Reactions
79 Replies
2K Views
Hivi ndivyo ilivyoagizwa na Tayari ishaanza kufanyiwa kazi Ngoja tuone mwisho wa makatili hawa watakapoishia
11 Reactions
47 Replies
875 Views
Na Hapa Vijana Mnielewe vizuri . Kuanzia 2026 hakutakua na Ajira , Hakutakua na kupandishwa mishahara Wala Madaraja, Hakutakua 10% ya Vijana . Wakati mnashangaa shangaa Ulaya na Marekan...
5 Reactions
24 Replies
951 Views
Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya. Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni...
3 Reactions
5 Replies
97 Views
16 February 2026 Baraza la Dhahabu Duniani laashiria utayari wa kushirikiana na Tanzania kuimarisha sekta ya dhahabu - SADC https://m.youtube.com/watch?v=W9De1WL7Rh8 Baraza la Dhahabu Duniani...
1 Reactions
14 Replies
537 Views
Wanabodi Hii ni makala ya Jumapili ya leo. Hili ni bandiko mwendelezo wa bandiko hili Pongezi Rais Samia, Serikali, Kukubali Kubadili Sheria ya Uchaguzi, Tume Huru ya Uchaguzi!. Tuanze na Katiba...
12 Reactions
66 Replies
4K Views
Wanabodi Wanabodi, Hili ni ombi mahsus na maalum kwa mtu mahsus na maalum, hivyo hii thread sio thread ya watu wote bali ni thread mahsus maalum kwa mtu mahsus maalum kwa lengo mahsus maalum la...
17 Reactions
52 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa CCM (UVCCM), Mohamed Kawaida, amechapisha ujumbe kwenye mitandao yake ya kijamii kwa kile kinachoonekana kujibu mapigo ya kauli ya Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi...
0 Reactions
13 Replies
289 Views
Wanabodi, Hii ni moja ya mada zangu za the voices from within ambazo ni abstract, za kufikirika tuu, sio lazima zitokee au hivi vitu ninavyo vizungumza humu, vitokee!. Mada ya leo ni kuhusu...
6 Reactions
19 Replies
605 Views
Kuna wale ambao akishatenguliwa tu tayar anakuwa mpinzani...kabila lake halifai kuwa kiongozi. Kuna wale hawawezi kukaa na kitu moyoni yani hawana Siri...wakibainika kabila lake halifai kushika...
1 Reactions
17 Replies
166 Views
UGAIDI/Uhaini wa kubambikiwa raia wasio na hatia ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Makosa haya mawili ndiyo makosa makubwa sana kwa mujibu wa makosa ya kijinai,hivyo unapompa tuhuma za...
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Wanabodi, Kufuatia ziara ya jirani yetu mmoja, kwa jina la utani Kasongo, hivi karibuni nchini mwetu na kulihutubia Bunge letu, akatufungua macho kuhusu fursa za mtambo wa kusafisha mafuta ghafi...
4 Reactions
12 Replies
521 Views
Back
Top Bottom