Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumetokea mabishano makali bungeni kuhusu hotuba ya kambi ya upinzani kwamba iondolewe sehemu ya hotuba hiyo kuanzia ukurasa wa 1-4. SIKILIZA AUDIO YA UBISHI HADI MATUSI HAPA -> Yaliyojiri...
25 Reactions
120 Replies
21K Views
Ni kufwatia kukamatwa na kupewa kesi ya ugaidi kwa wenzao wa UDOM Vikao vya chama cha wahadhiri vyuo vikuu vinaendelea ili kuona namna ya kuchukua hatua stahiki za haraka Eitha kutokana...
11 Reactions
31 Replies
556 Views
Watanzania wote hawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja. Lazima tujitizame, kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania wote hawana mtizamo mmoja?.
0 Reactions
4 Replies
66 Views
Mbona kama ameanza kuaga mapema sana kwani anaenda wapi. Alianza Samia mwenyewe akasema mtanikumbuka, leo Mchengerwa naye kasema mtamkumbuka. Nakumbuka hata wakati wa mwisho wa enzi za...
13 Reactions
33 Replies
581 Views
Muungano wa Kutetea Uhuru wa Taaluma Barani Afrika (ACAF) umemwandikia barua rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ukitaka kuachiliwa mara moja kwa...
8 Reactions
24 Replies
485 Views
Nawapa onyo ccm na machawa wao kuwa ikifika 2030 bila katiba mpya muwe na machaguo mawili la kwanza kukimbia nchi na la pili uchaguzi usifanyike, tofauti na hapo mjiandae kuondolewa Kwa nguvu...
11 Reactions
13 Replies
227 Views
Njama hii ya kishamba inayopangwa na mamlaka za Tanzania imefichuliwa na John Mnyika alipoongea na Waandishi wa Habari Jijini DSM Amesema kwamba viongozi na wanachama wa Chadema waliokamatwa kwa...
18 Reactions
58 Replies
815 Views
Kumbukeni CW wametoa deadline hadi tarehe 10/8 suala la Lissu liwe limetatuliwa na masuala mengine ya kisiasa yawe yamepatiwa ufumbuzi. Watoke vipi. Mbinu rahisi waliyoona inafaa ni kuwapumbaza...
23 Reactions
46 Replies
695 Views
CCM policy ya kuua upinzani ni hiyo Hii ina baraka za samia maana alisema ugaidi wa vijana katika hotuba yake juzi =========== Viongozi watatu wa CHASO Mkoa wa Mbeya pamoja na vijana wengine...
5 Reactions
20 Replies
470 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema serikali inapaswa kuzifumua upya ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) akiitaja taasisi hiyo kuwa inatumika vibaya kubambikizia wananchi na...
6 Reactions
6 Replies
163 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche ameeleza kuwa chama hicho kinaandaa barua ambazo zimepangwa kupelekwa kwa mashirika mbalimbali ya kimataifa...
6 Reactions
16 Replies
229 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/uchambuzi-wa-mayala-nyerere-magufuli-na-somo-la-kulinda-uhuru-wa-taifa-5482646 Leo...
6 Reactions
21 Replies
309 Views
Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia. Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili. Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama...
20 Reactions
131 Replies
10K Views
Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo ni makala ya kuhimiza uzalendo kwa kutanguliza maslahi ya Taifa mbeli, kwa kumtia Moyo Rais Samia, na Watanzania...
13 Reactions
109 Replies
2K Views
Dr. Nchimbi nimemuelewa sana katika ujumbe wake kwamba Watanzania tunapaswa tupiganie katiba mpya. Nakubaliana naye 100%. Amesema pia moja ya jambo muhimu sana ili kupata katiba mpya, ni utashi wa...
15 Reactions
68 Replies
691 Views
Zile tambo za, We are Sovereign State, na Who are You, zimeanza kupungua. Hakuna cha kufanya tathimini wala nini, mwachieni Lissu na mruhusu demokrasia iongoze nchi. But we warned you no any...
45 Reactions
67 Replies
1K Views
Wanabodi, Leo niko hapa Four Points by Sheraton, Dar es Salaam, kuwaletea live mjadala wa hili Bomba la mafuta la Uganda, ambao ukiondoa mradi wa LNG ambao bado haujaanza, huu ndio mradi mkubwa...
1 Reactions
18 Replies
775 Views
Dar es Salaam. Taarifa waqliyoitoa Chama cha ACT-Wazalendo walipokuwa wanaongea na Waandishi wa habari. kuwa litafungua mashauri mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya Fedha ya Mwaka...
3 Reactions
6 Replies
206 Views
Baadhi yetu humu, tena kwa zaidi ya miaka 20 sasa, tumekuwa tukiyasema yale ambayo Emmanuel Nchimbi kayasema jana kuhusu katiba. Hivyo hakuna lolote jipya alilolisema. Tunaweza hata kusema kuwa...
15 Reactions
19 Replies
325 Views
Kusaidia familia iliyofiwa ni jambo la ubinadamu na linapaswa kupongezwa. Hata hivyo, pale misiba inapogeuzwa kuwa uwanja wa mashindano ya kisiasa na njia ya kujijengea umaarufu, ni wakati wa...
2 Reactions
4 Replies
110 Views
Back
Top Bottom