Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo ni makala ya kuhimiza uzalendo kwa kutanguliza maslahi ya Taifa mbeli, kwa kumtia Moyo Rais Samia, na Watanzania...
13 Reactions
109 Replies
2K Views
Dr. Nchimbi nimemuelewa sana katika ujumbe wake kwamba Watanzania tunapaswa tupiganie katiba mpya. Nakubaliana naye 100%. Amesema pia moja ya jambo muhimu sana ili kupata katiba mpya, ni utashi wa...
15 Reactions
68 Replies
691 Views
Zile tambo za, We are Sovereign State, na Who are You, zimeanza kupungua. Hakuna cha kufanya tathimini wala nini, mwachieni Lissu na mruhusu demokrasia iongoze nchi. But we warned you no any...
45 Reactions
67 Replies
1K Views
Wanabodi, Leo niko hapa Four Points by Sheraton, Dar es Salaam, kuwaletea live mjadala wa hili Bomba la mafuta la Uganda, ambao ukiondoa mradi wa LNG ambao bado haujaanza, huu ndio mradi mkubwa...
1 Reactions
18 Replies
775 Views
Dar es Salaam. Taarifa waqliyoitoa Chama cha ACT-Wazalendo walipokuwa wanaongea na Waandishi wa habari. kuwa litafungua mashauri mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya Fedha ya Mwaka...
3 Reactions
6 Replies
206 Views
Baadhi yetu humu, tena kwa zaidi ya miaka 20 sasa, tumekuwa tukiyasema yale ambayo Emmanuel Nchimbi kayasema jana kuhusu katiba. Hivyo hakuna lolote jipya alilolisema. Tunaweza hata kusema kuwa...
15 Reactions
19 Replies
325 Views
Kusaidia familia iliyofiwa ni jambo la ubinadamu na linapaswa kupongezwa. Hata hivyo, pale misiba inapogeuzwa kuwa uwanja wa mashindano ya kisiasa na njia ya kujijengea umaarufu, ni wakati wa...
2 Reactions
4 Replies
110 Views
Kama hutajiuzulu huu utakuwa ni NI MWENDELEZO Wa utapeli kama tapeli zenu zingine! tunataka katiba mpya
2 Reactions
5 Replies
134 Views
Hawa wote wamehusika moja kwamoja kwenye uhalifu mkubwa dhidi ya raia, sasa wamekuja na option ya kujifanya hawaelewani ili watanzania waanze kufuatilia muvi yao dhaifu kabisa. Kwakifupi mimi...
16 Reactions
30 Replies
529 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimewaona na kuonyeshwa Ma Rais 5 Watakaofuatia na kuongoza Taifa letu baada ya Kumaliza Muhula wake Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hapo...
3 Reactions
78 Replies
585 Views
‼️ALERT ‼️ Muda huu huko Kilwa Madalali wamekusanya Watu wa CCM, wamewavalisha nguo za CHADEMA na kuwarekodi wakimshambulia Mhe. Heche kwa malipo ya laki moja moja. Muda wowote kuanzia sasa...
16 Reactions
14 Replies
437 Views
Akihojiwa na journalist wa jarida la the economist, the worlds richest man and an african-american E.Musk, kaulizwa maswali 2 magumu, are you racist jibu ni resounding no, la pili are you...
1 Reactions
6 Replies
214 Views
Wakuu, Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakina dhamira ya kuendeleza mchakato wa Katiba Mpya, akisema hadi sasa hakuna hatua zozote zinazoonyesha...
3 Reactions
5 Replies
244 Views
Tukiwa tunaimaliza Sabato! Nchimbi yupo sahihi. Kauli yake ya pambanieni katiba ni sahihi. Wenye mamlaka wao hawana shida na Katiba mpya kwa sababu wao yakwao yanawaendea. Katiba kwao sio...
5 Reactions
4 Replies
63 Views
Mtu Yuko ndani ya gari anakuambia tuendelee kusukuma tukiwa ndani litasogea TU . Tunashangilia tuanaacha kuliondoa gari bovu tuingiingize gari jipya lenye uwezo wa kutuvusha hapa . Tunaamini...
6 Reactions
42 Replies
375 Views
Nikiri kwamba mara hii natumia MOYO badala ya UBONGO kuandika uzi huu. Mashinikizo ya ndani na nje ya nchi hayawezi kuifanya Tanzania ipindisje au iachane na Katiba yake, sheria, mila, taratibu...
1 Reactions
46 Replies
764 Views
Akizungumza katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Julai 23, 2026, amesisitiza kuwa haki...
4 Reactions
16 Replies
411 Views
MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA IRAMBA TAYARI KUMULIKA MIRADI YA MAENDELEO Mwenge wa Uhuru umewasili katika Wilaya ya Iramba ukitokea Halmashauri ya Manspaa ya Singida na kupokelewa rasmi na Mkuu wa...
0 Reactions
18 Replies
106 Views
Kwanza kabisa nawatakia wana Jf wote maandalizi mema ya Christmas. Sisi makamanda tunaokwenda Moshi tuwe makini tusiwapelekee wazee wetu toleo jipya la covid 19. Mwisho, Hongereni the so called...
35 Reactions
113 Replies
9K Views
Nafikiri kitendo cha Makamu wa rais Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wapambanie katiba mpya wakati yeye ndiye aliyepo kwenye nafasi ya kuwezesha mchakato huo lakini hata hivyo hajafanya...
0 Reactions
1 Replies
70 Views
Back
Top Bottom