Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan amekabidhi shilingi milioni 20 kwa familia nne za marehemu wa ajali iliyotokea Februari 25, 2025 jijini Mbeya na kukabidhi milioni 6...
Katibu mkuuwa CHADEMA, John Mnyika ameeleza kuwa Kauli aliyoitoa Rais Samia kwa viongozi wa dini kuhusu mabadiliko yaliyofanyika kwenye uchaguzi. Ameeleza kuwa kauli hiyo ipuuzwe na wadau...
Romanus Mapunda na Team yake watatangaza maandamano wakitaka Tundu Lissu ajiuzulu kwani hakitakii mema chama. Katika maandamano hayo yataanzia mkoa wa Dar es Salaam
Kupata matukio na taarifa zote...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara, John Heche ameelezea safari yake ya kuusaka ubunge Tarime ambapo ameeleza kuwa hata sasa akiwa mzima anashinda ubunge Tarime, aameeleza pia kuwa na yeye ni mtia...
Tulipopata uhuru, matumaini yalikuwa makubwa. Tulidhani uhuru ungeleta maendeleo, uchumi imara, na maisha bora kwa wote. Lakini leo, Afrika bado inakabiliwa na umasikini, madeni, ukosefu wa ajira...
Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa, wakati akiomba kura za uenyekiti na kunadi sera zake kwa wajumbe mnamo Novemba 21, 2022. Alidai kuwa CCM mkoani humo kimekata pumzi na hawawezi...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA TAifa upande wa Zanzibar, Said Mzee ameeleza kuwa Chadema haiwezi kufa kwa hila za CCM, aidha amewapongeza watia nia waliojitokesza katika mkutano huo wa kuwajengea uwezo...
Yu wapi huyu mwamba kwenye hili jukwaa la siasa? Isije ikawa amepotezwa au amepatwa na janga si kawaida yake hata kidogo.
Ni mtu pekee anayependwa na CHADEMA NA CCM leo ni muda sasa haonekani...
Diwani wa Mchoteka kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Seif Dauda pamoja na Katibu wa Wilaya ya Tunduru, Said Mponda na baadhi ya wanachama wa chama hicho, wamejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM)...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Mwenge wa Uhuru ni moja ya Tunu kubwa iliyopo kwenye Taifa kwani umekua kichocheo kikubwa...
Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya...
CHADEMA wakimtangaza mgombea urais,nchi itakuwa tayari kwa Uchaguzi.
Lakini badala ya kumtangaza mgombea urais CHADEMA wanafanya utalii mikoani. Halafu Chadema hawana upendo na Umoja katika Chama...
Akiwa Upinzani enzi zile Bwana Steven Wassirra alilalamika kwamba Uchaguzi haukuwa huru wala haukuwa wa haki kwa vile kwenye Kituo kimoja kilichoandikisha Wapiga kura 271 lakini Mgombea wa ccm...
Mtu yeyote akikuuliza tofauti ya Mbowe na Lissu mjibu hivi ili uchukue maksi zote 100.
1. Mbowe is a stateman, Lissu hata robo hajafika huko
2. Mbowe ni kiongozi mwenye strategies nyingi sana...
Umoja wa Wanaume Tanzania unatarajia kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwezi huu wa nne na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano mkubwa wa umoja huo utakaofanyika Dodoma.
Malengo...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara,Stephen Wassira alifanya ziara katika mkoa wa Simiyu kuanzia Machi 28-30 mwaka huu kwa kutembelea wilaya zote za mkoa huo ambazo ni Maswa, Meatu...
Tundu Lissu ana kitu ambacho Wanasiasa wengi na Maprofesa wa Nchi yetu hawana, UTAFITI....
Kwa mfano, katika moja ya mijadala ya TV ya ''Chief Odemba'' ambaye ni mtangazaji na muandaaji vipindi...
Tundu Lissu ndiye mbunge wa kwanza duniani kuingia bungeni na vitabu vingi na kuvitumia vyote kujenga hoja zake. Kumshinda lissu kwa hoja, ni lazima uwe umesoma sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.