PreGE2025 John Heche: Nikiwa mzima nashinda ubunge Tarime

PreGE2025 John Heche: Nikiwa mzima nashinda ubunge Tarime

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,733
Reaction score
2,822
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara, John Heche ameelezea safari yake ya kuusaka ubunge Tarime ambapo ameeleza kuwa hata sasa akiwa mzima anashinda ubunge Tarime, aameeleza pia kuwa na yeye ni mtia nia.

Aidha ameelezea mchango wake kwa baadhi ya vijana wengine ikiwemo kwa David Silinde na yeye ndiye aliyempa nauli kwa ajili ya harakati zake za ubunge.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Back
Top Bottom