Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama upinzani utakomaa na no reform no election ni rasmi vituo vya kupiga kura vya kawaida kutatokea vurugu ambazo zitaharibu utulivu na polisi hawawezi tuliza ghasia vituo vyote nchi nzima...
0 Reactions
12 Replies
788 Views
Kwa mnyukano unaoendelea ndani ya chama kinachoongozwa na adui wa demokrasia Tundu Lissu ni wazi kuwa laana mbalimbali za kupuuza ushauri uliwahi kutolewa na wabobezi wa siasa za nchi hii nikiwemo...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Mfumo wa CCM wakupata wagombea hautegemei kukubalika kwa wagombea kwa wanachama. Ni mfumo unaotegemea unajipendekeza vipi kwa wakubwa. Mfumo huu umepelekea wanaccm wengi wenye akili na nguvu...
0 Reactions
0 Replies
327 Views
== Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ndg. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati kuu pamoja na Halmashauri kuu ya CCM , Jijini Dodoma.
16 Reactions
61 Replies
4K Views
Katika Ukurasa wake wa (X) zamani tweeter Mkurugenzi wa PPP-Cetre Tanzania Bw David Kafulila amesema kuwa utafiti uliofanywa na taasisi ya kitafiti ya Steadman au SYNOVETe mwaka 2008 ulibaini kuwa...
25 Reactions
234 Replies
6K Views
Kuna vitu vinafanyika nchini hadi unapatwa na vicheko ukifikiria yanayoendelea halafu watawala hata hawajali, wanapiga hela na wanatutambia Baadhi ya mambo yanayochekesha nchini na serikali...
4 Reactions
6 Replies
624 Views
Lissu kataza awa wafuasi wako kuendelea kutumia jina la Soka kufanya siasa chafu za chuki. Mnawaumiza ndugu zake Soka kuendelea kutumia maswahibu yaliyomkuta huyu kijana kupata uungwaji mkono...
1 Reactions
6 Replies
446 Views
Siku hizi, kila jaji, mbunge, mtawala, viongozi wa dini, na matajiri wanaimba wimbo mmoja wa mama anaupiga mwingi. Sijui mwingi upi na vipi na kwa vipi. Je muungano huu utaiokoa au kuizamisha...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Maandalizi ya mkutano wa viongozi wa Chama Taifa na watia nia wa nafasi ya ubunge katika majimbo mbalimbali nchini yamekamilika katika ukumbi wa Makao Makuu ya Chama, Mikocheni Dar es salaam...
0 Reactions
8 Replies
918 Views
Kuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife Mwanae...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Nikiwaangalia watia nia ni kama hawako pamoja na Lissu, masikio yao "yanamkataa" Lissu. Nadhani alitakiwa kwanza awasikilize kabla ya kuanza kuwahubiria mambo yake. Uongozi wa up-down ni wa...
0 Reactions
34 Replies
1K Views
Eneo la uwekezaji la Bagamoyo iliwepo Bandari limepata mwekezaji Mpya ambae ataliendeleza, kampuni ya SADC kutoka Saudi Arabia baada ya China na Oman Kushindwa Kuendeleza. Pia soma Serikali...
7 Reactions
225 Replies
13K Views
== Tofauti sana na Watanzania wengi wanavyofikiria kuwa Hayati Mwl JK. Nyerere hakuihitaji Sekta binafsi PPP, Haya mawazo si ya kweli, Ukweli wa wazi MwL JK. Nyerere aliamini...
28 Reactions
197 Replies
11K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
Mdhibiti mkuu wa mapato na matumizi wa serikali yetu ya Tanzania ameyataja mashirika yetu makubwa ya serikali jina yanavyojiendesha kwa harasa , kuanzia ATCL mpaka Tanesco. . Kwa kufanya kwa...
0 Reactions
4 Replies
323 Views
Tukiacha uchawa tujiulize tusiwe tunashabikia vitu tu kama misukule? Airport zote za KIA na Zanzibar zinategemea watalii. Sasa ni kwanini kama kuna sababu tuambiwe tunasikia airport ya KIA...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Haya nchi ya Vietnam ambayo ilikuwa comminist kama sisi, masikini kama sisi leo hii ina trade deficit ya 100 billion dollars na USA, yaani vietnam ina export goods kwenda US zaidi ya USA inavyouza...
1 Reactions
3 Replies
428 Views
Katika muktadha wa siasa za Tanzania, moja ya changamoto kubwa inayokabili nchi ni muundo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Muundo huu umejenga hali ambapo ni vigumu kutofautisha kati ya CCM na...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Kupitia mahubiri Gwajima ametoboa siri kwamba watu wa Cuba wameweka kiwanda cha kuzalisha chemicals za kuua mbu nchi nzima. Kiwanda kina miaka takribani 15 lakini hakijaleta tija kwa nchi...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
DKT. NCHEMBA ATETA NA SAUDI FUND SAUDI ARABIA 20 Dec, 2024 Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia...
0 Reactions
14 Replies
829 Views
Back
Top Bottom