Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, mkoani Ruvuma imeanza kwa kishindo, huku mamia ya wanachama wa vyama vya upinzani wakihama na kujiunga na CCM...
0 Reactions
4 Replies
514 Views
Makada nane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Buchosa wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hii imetokana na kuridhishwa na kazi...
0 Reactions
9 Replies
583 Views
Awali ya yote nawasalimu katika jina la Mungu Baba wa Mbinguni na amani ya Bwana wangu iwe pamoja nanyi. Mimi kama kijana wa miaka 35 mwenye shahada ya kwanza ya Uchumi na ni mtumishi wa Umma...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa No reforms No election ni ya Watanzania wote ndiyo maana hadi viongozi wa dini wanaiongelea. Kama wewe huungi mkono mabadiliko maana yake...
3 Reactions
13 Replies
983 Views
Wakuu Wakati wengine wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (No reforms, No election) lakini kuna hawa Chawa Pro Max wa Samia ambao wanatumia namba plate kumpigia debe Rais Samia kuelekea...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Kilichobaki ni miezi mitano kabla ya uchaguzi, ni busara kwa wakati uliopo chadema ikajihusisha zaidi na kujipanga jinsi gani itapata majimbo kuliko kuutumia zaidi muda wao katika shughuli za...
0 Reactions
2 Replies
297 Views
Gwajina yupo CCM kwa nguo tu Moyo wake upo upinzani. Heche anaongea haya haya lakini machawa wamampiga madongo Je anayo ongea Gwajima hapa anampinga nani...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, tumeshuhudia ajali nyingi na kubwa nchini ambazo zimeleta madhara makubwa, ikiwemo mauaji na watu wengi kupata vilema vya kudumu. Hali hii ni ya...
1 Reactions
9 Replies
614 Views
Carbon credits are sold by governments to businesses, and can be resold on the regulated carbon credit market. Carbon offsets are sold on the voluntary carbon credit market by organizations...
1 Reactions
0 Replies
326 Views
Wanachama wa vyama vya upinzani 200 wa wilaya ya Tunduru akiwemo diwani wa kata ya Mchoteka kupitia tiketi ya Chama Cha Act Wazalendo Seif Dauda, katibu wa wilaya ya Tunduru wa Chama Cha Act...
1 Reactions
7 Replies
693 Views
Watu wengi wenye upeo wa chini ambao wengi ni wanaccm (sababu zinafahamika) wanadhani kampeni ya No Reform No Election ni mpango wa Chadema kususia Uchaguzi. Ukweli ni kwamba jambo hili si...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Chama cha NCCR Mageuzi kimeeleza kuwa hakitasusia uchaguzi Mkuu wa baadae mwaka huu, wakieleza wazi pia mpango wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kutaka kuzuia uchaguzi ni suala ambalo...
1 Reactions
8 Replies
708 Views
Gari iliyobeba mwili wa Marehemu aliyekuwa katibu wa UWT mkoa wa Mbeya, Lucy Sulle, kutokea mkoani Mbeya ukielekea mkoani Babati kwa ajili ya mazishi, nalo limepata ajali maeneo ya Chemba, saa 10...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Leo kupitia uzinduzi wa hii kampeni ya tonetone, Watanzania wote tunashuhudia ni namna gani hiki chama kina watu smart, walio na maarifa sahihi ya kulipeleka hili Taifa mbele. Leo tunashuhudia...
32 Reactions
63 Replies
3K Views
Leo Machi 27, 2025 majira ya saa 5:00 asubuhi Rais Samia Suluhu Hassan atapokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) ya mwaka 2023/2024 Ikulu Dar es Salam...
4 Reactions
67 Replies
7K Views
Naona kabisa kuna mhaho wa kutaka kujua uchaguzi utazuiwaje usifanyike?. Na vinara wa kuhamasisha NO REFORMS, NO ELECTION(Lissu na Heche) hawana maneno mengi wanasema tu tena kwa kujiamini...
2 Reactions
3 Replies
606 Views
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Amani Gulogwa akiongea katika mkutano wa watia nia unaondelea katika ofisi za CHADEMA ameeleza kuwa viongozi wakuu wote ni watia nia isipokuwa yeye, na hata...
2 Reactions
12 Replies
984 Views
  • Closed
Baada ya ufuatiliaji wa kimtandao uliofanywa na JamiiCheck imebainika kuwa taarifa hii si ya kweli bali ni ya kutengenezwa na wapotoshaji. Rejea kiungo hiki, SI KWELI Lema ajitosa kugombea Ubunge...
2 Reactions
10 Replies
617 Views
Taarifa iliyonukuliwa na jarida la The Africa Report ikinukuu Barua ya Wizara ya Madini inasema kuanzia May 2024 ni marufuku Kwa Wawekezaji kufanya exports ya Madini ghafi ya Lithium. Tanzania...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Akifunga kilele Cha maonesho ya Madini Kitaifa Mkoani Geita,Rais wa JMT amepiga marufuku Mauzo ya Madini Ghafi Nje ya Nchi. Amesema hakuna sababu ya Madini Ghafi kuuzwa Nje ya Nchi bila...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom