Mimi ni miongoni mwa watanzania wanaokupenda sana, na kukuombea ufanikiwe.
Lakini naomba suala la utekaji na mauaji yenye mlengo wa kisiasa ulichukulie uzito mkubwa sana kabla ya uchaguzi mkuu...
Akizungumza kwenye Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, Rais Samia amesema nchi yetu (Tanzania) imeendelea kuwa na Umoja na Mshikamano kwasababu viongozi...
Ndugu zangu Watanzania,
Serikali yetu kupitia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kupitia idara zake zote za usalama.ziwe macho na kuwa karibu sana na lissu na kumfuatilia nyendo zake pamoja na...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania wilaya ya Handeni Sophia Masimba amewataka makada wanaotarajia kugombea nafasi ya udiwani na ubunge na waliopo madarakani wilayani humo kuacha...
Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Yusuf Makamba, amewataka Watanzania kumuombea Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ushindi, afya njema umri mrefu kutokana na kujitoa kwake kwa dhati...
Mbunge wa Bumbuli na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, Mhe. January Makamba amesema kuwa Wana-Bumbuli wana vitu kwa kujivunia sababu wametoka mbali sana kimaendeleo ukilinganisha na miaka ya nyuma...
Kwangu mimi naona Augustino Lyatonga Mrema, Dr. Wilbroad Slaa, Maalim Seif na Tundu Antipas Lissu wamekuwa viongozi wenye ushawishi na mvuto katika siasa za upinzani Tanzania.
Ipo tofauti kati ya wateule wa mungu na wateule wa shetani ibilisi Lucifer mkuu wa Giza !
Wateule wa mungu huingia madarakani kwa kura halali hawakuibia haki ya mtu Wala hawakunyang'anya kura ya...
Hivi kweli hii ni haki kwa Jeshi la Magereza kutendewa hivi na Serikali yao! Kazi ya serikali imebaki kujigamba kwa kununua mabomu ya machozi kupambana na vyama vya upinzani ili iendelee kutumia...
Moja ya mambo ambayo ccm waga haivumilii ni kuona mwanachama anakengeuka na kwenda kinyume na makubaliano ya chama, ni mwanachama kuondoka mwenyewe kwenye chama au kufukuzwa uanachama.
Makala kwa...
Ni miaka mitatu ya hasara kwa mashirika makubwa ya umma, ndivyo unavyoweza kueleza. Hasara hizo zimetajwa katika ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za mwaka 2021/22...
Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewapatanisha viongozi wa Kijamii wa Kimasai, Ole Paserian na Ole Kisongo, na...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasha Mwenge wa Uhuru kuashiria uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amaema kupitia ukurasa wake wa X kuwa Rais Samia amedanganya kwenye baraza la Eid kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi
Amesema “Rais Samia hajasema ukweli kwenye...
Raisi Samia hana majibu hata moja ya matatizo na alicho bakia nacho ni kutuuuzia Uoga, kututishia Police wake na kadhalika.
Hana majibu ni kwa nini Shiling ya Tanzania inaongoza kwa kushuka...
Ukitazama hali halisi ilivyo sasa ni wazi kabisa matajiri, watu wenye uchumi mzuri, biashara kubwa, na watu wa serikali ndo wanaridhika na mwenendo wa serikali kwa sasa. Sasahivi wanasukuma magari...
Wakuu,
Nikadhani zoezi la wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura lilikuwa limeshaisha.
Naona leo RC kajitokeza kuja kuisemea tume!
Akiwa anazungmza hivi karibun Mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.