Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,439
- 3,199
Yu wapi huyu mwamba kwenye hili jukwaa la siasa? Isije ikawa amepotezwa au amepatwa na janga si kawaida yake hata kidogo.
Ni mtu pekee anayependwa na CHADEMA NA CCM leo ni muda sasa haonekani akipost na matukio makubwa yanatokea yupo kimya.
johnthebaptist upo wapi chifu?
Ni mtu pekee anayependwa na CHADEMA NA CCM leo ni muda sasa haonekani akipost na matukio makubwa yanatokea yupo kimya.
johnthebaptist upo wapi chifu?