Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama ikitaka kujulikana na wananchi kuujua ukweli na serikali iliyopo madarakani kuutumbua ukweli ,je inawezekana ? Kuna vifo vimetokea na kuvuma kwa aina kuwa hao wameuliwa na serikali...
4 Reactions
43 Replies
11K Views
Ninakifahamu vizuri Chama Cha Mapinduzi na kila ninaposikia kinaelezwa tofauti na ninavyokifahamu hususani na wapinzani nawaza mengi sana lakini mwishowe nahitimisha mawazo yangu kwa kusema ni...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari Kumekuwa na tabia tokea uandikishwaji wa daftari la wapiga kura lianze, wajumbe wa CCM wanapita majumbani kukusanya namba za vitambulisho hasa kwa wamamaa, tunajiuliza wanazipeleka wapi?
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Kama kuna mahali mabilioni kama sio matrilioni ya dola yanamwagwa, ni Israel. Kila wanachokifanya asilimia 95 ni mmarekani ndiye anafanya. Nashangaa kiongozi wa kitaifa wa chama anashindwa kujua...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema. Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55, wewe ungependa uwe...
3 Reactions
92 Replies
3K Views
Tanzania ni moja ya nchi inayofuata misingi ya haki kwa watu wake na moja ya haki aliyonayo mtu ni HAKI YA KUISHI. Siku zote haki haiombwi ila inatekelezwa baada ya mtu kutimiza wajibu wake kwa...
0 Reactions
0 Replies
289 Views
1. Ni muumini mkubwa wa Katiba Mpya inayotengeneza mifumo imara na sio kuwapa nguvu Wanasiasa. Suala hili linaungwa mkono na idadi kubwa ya Watumishi wa Umma ikiwemo vyombo vya dola. Watendaji...
34 Reactions
86 Replies
5K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mheshimiwa Jesca Kishoa, ameonesha kuguswa na changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa Kata ya Mwanga, Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida, kufuatia...
3 Reactions
6 Replies
476 Views
UCHAGUZI 2025: BALOZI NCHIMBI ATOA WITO Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa msingi wa sera za CCM utabakia kuwa ni maendeleo ya watu pamoja na...
1 Reactions
9 Replies
623 Views
Ni Dhahiri kuwa CCM na Serikali yao wamechanganyikiwa na Moto wa No Reforms, No Election. CCM wanajua kuwa CDM ndio Chama kikuu cha Upinzania Tanzania na vyama vingine ni Takataka tu. CCM wanajua...
26 Reactions
44 Replies
2K Views
Wailianza kwa mbwembwe sana chini ya uongozi mpya kwamba, mapambano ya kidemokrasia dhidi ya maslahi mapana ya wanachadema na wananchi wote wa Tanzanzania, sasa yanapata pumzi mpya, uelekeo mpya...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Kumekua na Mkakati wa Vyama 7 kuungana na kumsimamisha Mgombea Urais uchaguzi mkuu wa October Duru za Ndani zinasema Vyama Hivyo Tayari wapo kwenye hatua za mwisho kutangaza kumuunga mkono...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimetafakari kwa kina mkakati wa no reform no election haujakaa vizuri kwenye umaliziaje wake wa dhana ya kuzuia uchaguzi au kutoshiriki uchaguzi haujakaa vizuri kimantiki. Siasa ni draft na...
0 Reactions
2 Replies
305 Views
Wananchi wa vijiji vya Bulangwa na Katente mkoani Geita wameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufanya marekebisho ya muda wa ukomo wa urais kutoka miaka 10 ya sasa hadi miaka 20 ili...
3 Reactions
239 Replies
19K Views
Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema. Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine. Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura ukashinda. Hukufanya hivyo...
5 Reactions
85 Replies
3K Views
Kumewahi kuwa na mapambano ya kambi 2 tofauti ndani ya vyama vya upinzani toka mwaka 1995 CUF ya Maalim Seif Vs CUF ya Prof Lipumba KNCCR ya Agustine Mrema Vs NCCR ya Masumbuko Lamwai NCCR ya...
2 Reactions
5 Replies
491 Views
Nimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM. Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano...
36 Reactions
104 Replies
5K Views
KIJIJI CHA NYUKI SINGIDA, DUNIA MPYA USIYOIJUA: Ilikuwa Agosti 2, 2022 majira ya saa 10 jioni nikiwa nimeketi peke yangu juu ya mawe nyumbani Singida, nikiyatathimini maisha yangu, nilipofeli...
10 Reactions
23 Replies
8K Views
Arusha Mara Mwanza Shinyanga Mbeya Iringa Dar es salaam Tabora Tanga Bila Mabadiliko Mfumo wa Uchaguzi , Hii Mikoa ikishakinukisha tu, itasambaza matokeo yake Kwa Mikoa mingine. Miezi hii Mitatu...
3 Reactions
9 Replies
517 Views
Katika sehemu za Watu Wanaojielewa Duniani Mhimili wa Mahakama ndo Kimbilio la Haki kwa Wananchi Wote Mhimili wa Mahakama ndo Chombo cha kuhakikisha Mamlaka ya Dola (Executive) na Bunge...
8 Reactions
73 Replies
2K Views
Back
Top Bottom