Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Kama ikitaka kujulikana na wananchi kuujua ukweli na serikali iliyopo madarakani kuutumbua ukweli ,je inawezekana ?
Kuna vifo vimetokea na kuvuma kwa aina kuwa hao wameuliwa na serikali zilizopita zilishindwa kuujibu na kuzifuta tuhuma hizo ?
Kuna uvumi kuwa Kolimba aliuliwa ,Nyerere aliuliwa,Sokoine aliuliwa,Malima aliuliwa na wengine mtaongezea.Je, haya yatabaki kuwa uvumi au kuna siku kutatumbuliwa?