Kwa hali inavyoendelea sasa ndani ya Chadema kumeibuka mvutano kati ya Timu Lissu vs Team Mbowe
Kwa haraka haraka Team Mbowe walianza kutengwa na kufurushwa makao makuu na wengine wakionywa...
Rais Samia kipindi inatangazwa kwamba bwawa la Mwl Nyerere litakapokamilika bei ya umeme itashuka chini wewe ulikuwa makamu wa rais na bila shaka mlikubaliana hivyo kwenye vikao, sasa bwawa la...
Mtia saini namba 55 katika waraka wa watia nia wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 2025, maarufu kama G55 James Kabepele, amekana kuhusika katika waraka huo akiwataja...
Mh. Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, ndiye mpinzani wa kweli nchini Tanzania.
Serikali ya awamu ya tano (5) chini ya Rais Magufuli, lilitokea...
Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Geita, Gabriel Nyasiru amewacharukia baadhi ya Viongozi na Wanachama wa Chama hicho kuacha tabia ya kulibeza kundi la Vijana kwa madai ya kutaka...
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tabora na Kanda ya Magharibi, wakiwemo watia nia wa ubunge katika majimbo mbalimbali, wamejitokeza hadharani kulaani vikali kundi la...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amefichua kuwepo kwa tuhuma za mtu mmoja anayehusishwa na kugawa fedha kwa wajumbe wote wa CCM Wilaya ya Ilala kiasi cha...
Nilitegemea baada ya uchaguzi makundi yatakufa rasmi na ujenzi wa chama utaendelea !matokeo kumbe mlienda kugombea si kwa ajili kuongoza Bali kulipa kisasi kwa waliotangulia !!
Niwafundishe...
TUNDU LISSU does not take a raw deal, he is straight, truthful & serious in what he believes. Observe careful these incidence
1) Survived assassination attempt, people's who Sanctioned his...
Maridhiano yalikuwa ni maamuzi ya chama sio Mbowe.
No reform No election ni maamuzi ya chama.
Lissu ulipinga hadharani maamuzi ya chama kuingia kwenye maridhiano mpaka ukawaita viongozi wenzio...
Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu, Eva Michael Degeleki amezindua zoezi la ugawaji wa kadi za kielektroniki mkoani humo.
Uzinduzi huo umefanyika leo April 6,2025 katika,Tawi la Old Maswa lililopo...
Hii ndio maana halisi ya tunachokiona sasa na tafsiri kwa nini chama hiki kazi yake ni kuzua taharuki badala ya kufanya siasa safi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Kigezo cha kuwa mtumishi wa umma ili kumiliki nafasi ya kusimamia uchaguzi kinatoa changamoto kubwa kuhusu haki ya usawa katika ajira na ufikiaji wa fursa.
1. Haki ya Kazi Kikatiba:
Kwa mujibu...
Mheshimiwa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, kamwe, kamwe usiyumbishwe na hawa jamaa wanaojiita G.55.
Nikuombe usihangaike nao. Hapa ni kwamba, No reforms No election imeshaanza kubisha...
TPLB ilihairisha mchezo wa Simba na Yanga Kwa kusema wataupangia tarehe nyingine, cha ajabu kuchelewa kwao kutangaza tarehe yameibuka ya kuibuka!
Nafananisha haya na yanayoendelea CHADEMA na...
Father Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu.
Hivi kweli chama...
Huyu dada Catherine Ruge alivyopigwa Chini kwenye Ukatibu Mkuu wa BAWACHA nilihuzunika Sana.
Ila kwa Sasa naona waliompiga Chini waliona mbali Sana kumbe alikuwa kirusi kwenye chama. Kateuliwa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Masasi, mkoani Mtwara, akiwa safarini kuelekea Tunduru, mkoani Ruvuma, tayari kuanza ziara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.