PreGE2025 Tetesi: Vyama 7 Kuungana Kushiriki uchaguzi Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
6,206
Reaction score
5,074
Kumekua na Mkakati wa Vyama 7 kuungana na kumsimamisha Mgombea Urais uchaguzi mkuu wa October

Duru za Ndani zinasema Vyama Hivyo Tayari wapo kwenye hatua za mwisho kutangaza kumuunga mkono Mgombea atakayependekezwa.

Za ndani zaidi zinadai Vyama Hivyo Vinamvizia Luhaga Mpina kuwa mgombea wao

Wale wa No Reform No Election tusbiri kama awajaunga Tela.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Siasa ya mwaka Huu mkurupukaji laazima abaki kubweka inahitaji akili na sayansi ya haswaa.

NB: Uchaguzi ni Takwa la Kikatiba Je Katiba itazidiwa Nguvu na Chadema?
 
Nao wapo kazini kusaka Ugali. Sisi ndio wenye kuwapa kula na kura ni uamuzi wa wale
 
Kwa huu UCHAFUZI wa Mama Samia hata Vyama elfu arobaini vikiungana viazime na vyama kutoka Kenya Burundi na hata Jamhuri ya Afrika ya kati WANATANGAZA CCM ndio imeshinda.

Kwahiyo ndugu zanguni tuuzuie huu UCHAFUZI kwa hali na Mali na ikibidi hata kwa mawe mapanga na mishale.

UCHAFUZI BIG NO!
UCHAGUZI HURU NA WA HAKI YES
 
Kumekua na Mkakati wa Vyama 7 kuungana na kumsimamisha Mgombea Urais uchaguzi mkuu wa October

Duru za Ndani zinasema Vyama Hivyo Tayari wapo kwenye hatua za mwisho kutangaza kumuunga mkono Mgombea atakayependekezwa.

Za ndani zaidi zinadai Vyama Hivyo Vinamvizia Luhaga Mpina kuwa mgombea wao

Wale wa No Reform No Election tusbiri kama awajaunga Tela.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Siasa ya mwaka Huu mkurupukaji laazima abaki kubweka inahitaji akili na sayansi ya haswaa.

NB: Uchaguzi ni Takwa la Kikatiba Je Katiba itazidiwa Nguvu na Chadema?
Lisuu endelea kukabia juu, mwaka maneno yote yatawaisha kudadek
 
Lissu kaja kutuonyesha nani ni Wapinzani wa kweli wenye kujali HAKI za Wananchi na nani ni mapandikizi Wapinzani FEKI Wapinzani tumbo ambao wengine walikuwa well camouflaged ndani ya chama.

Na aendelee kushikilia hapo hapo mpaka mchele na pumba zijitenge kabisa.

Tunamtakia Jemadari Lissu na team yake Baraka zaidi za Mungu
 
Kumekua na Mkakati wa Vyama 7 kuungana na kumsimamisha Mgombea Urais uchaguzi mkuu wa October

Duru za Ndani zinasema Vyama Hivyo Tayari wapo kwenye hatua za mwisho kutangaza kumuunga mkono Mgombea atakayependekezwa.

Za ndani zaidi zinadai Vyama Hivyo Vinamvizia Luhaga Mpina kuwa mgombea wao

Wale wa No Reform No Election tusbiri kama awajaunga Tela.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Siasa ya mwaka Huu mkurupukaji laazima abaki kubweka inahitaji akili na sayansi ya haswaa.

NB: Uchaguzi ni Takwa la Kikatiba Je Katiba itazidiwa Nguvu na Chadema?
Umemalizia vzr mwenye macho na aone
 
Mpina hawezi kwenda kwenye huo ujinga lbd Gwajima na magenge ya matapeli

Soon mpina anaungana na Lissu kuokoa nchi

Mwaka huu ni pressing babeki aliye juu mfate uko uko
 
Game On.

Useme avina watu uone.

Chadema inasusa wenzao wanakula

JEuri ya ruzuku kwisha sijui Tone tone Yule Rastaa mstaafu atawaacha salama
Hata wakiungana wakapata Kura nying kuwazid CCM bado hawatatangazwa, uchaguzi Kwa bongo hapa NI zuga Tu mshindi anajulikana na hategemei Kura yako
 
CCM mna vituko kwanini msiseme washirika 7 wa CCM watajitokeza kushiriki upumbavu uliobandikwa jina la uchaguzi ili kuhalalisha kwamba ulikuwepo uchaguzi?

Mnajua uchaguzi bila Chadema kushiriki hakuna relevance ndio maana mnajitokeza kila siku na hadithi za hovyo.
 
Back
Top Bottom