PreGE2025 Mahinyila: Wametunyima uwanja sasa tutaandamana

PreGE2025 Mahinyila: Wametunyima uwanja sasa tutaandamana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,772
Reaction score
2,887
Maneno mazito ya Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA Taifa, Deogratius Mahinyila, wilayani Tunduru kulaani tukio la kunyimwa uwanja wa kufanya mkutano Makamu Mwenyekiti wa John Heche.

Amesema hawatutakubali tena polisi watuchagulie eneo la kufanyia mikutano kisha akawataka wananchi wamsinidkize makamu mwenyekiti wetu hadi anapokwenda ili polisi nao waendelee kuwasindikiza.
 
Chadema hawajui.kutafuta wapiga kura au kuungwa mkono na Polisi na familia zao

Wana siasa za kijinga mno

Chama cha siasa kazi yake kubwa mojawapo ni.kutafuta uungwaji mkono na makundi .mbalimbali wakiwemo polisi na familia zao

Chadema hopeless kabisa
 
Inafaa wajue mapema kuwa HAKUNA mwenye uwezo wa kupambana na umma. Kwa sasa wananchi wanataka kura zao ziwe na tija, ziheshimiwe
 
Chadema hawajui.kutafuta wapiga kura au kuungwa mkono na Polisi na familia zao

Wana siasa za kijinga mno

Chama cha siasa kazi yake kubwa mojawapo ni.kutafuta uungwaji mkono na makundi .mbalimbali wakiwemo polisi na familia zao

Chadema hopeless kabisa
Kwamba kura za Polisi na familia ndo za ushindi siyo?? Hili Taifa limezalisha Mazuzu wengi sana.
 
Back
Top Bottom