Kafulila afichua siri za watumishi - kuna wanaolipwa 20,000,000/= kwa mwezi

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,885
6,885
Kafulila(4).jpg
427254_283836905017217_100001727290468_821661_1663231869_n.jpg

Kafulila mbunge wa Kigoma Kusini

Naye mbunge machachari wa Kigoma Kusini (NCCR), David Kafulila, ambaye yuko kwenye mzozo na chama chake kilichomfukuza uanachama, alisema kinachosumbua kwa sasa ni kukosekana kwa mfumo wenye usawa wa ulipaji mishahara na posho ndani ya serikali.

Kafulila alisema ni aibu kuona daktari akilipwa mshahara wa Sh. 900,000, lakini wapo maofisa wadogo tu katika mashirika ya umma kama Benki Kuu (BoT) au Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanachota hadi milioni saba kwa mwezi.

"Angalia Gavana wa Benki Kuu analipwa mshahara wa Sh. milioni 20, Mkurugenzi wa NSSF Sh. milioni 18, mbunge Sh. milioni 1.8, daktari Sh. 900,000," alisema na kuhoji hapa haki iko wapi.

Aliongeza kwamba waziri akisafiri nje ya nchi posho yake kwa siku ni Dola za Marekani 420 (sawa na Sh. 672,000) lakini Mkurugenzi wa Mkuu wa Shirika lililo chini yake anachota Dola za Marekani 800 (Sh. 1,280,000) kwa siku.

IPP Media
 
Tujiandae kuingia msituni kwa ajili ya ukombozi wa nchi yetu.Risasi tutaanzia na uongozi w6te wa juu ngazi ya ta4fa na hatuna mchezo na vibaka wa uchumi wa KANANI yetu TANZANIA.Sasa h4vi sisi hatuna huruma na WAZIRI wala PRESDENT anayejiita wa TZ.Wao wasubiri waone kiburi cha (RPG,SMG,AK47 na VIAZI VYA ULAYA) kilivyo.
 
Kafulila(4).jpg

Kafulila mbunge wa Kigoma Kusini

Naye mbunge machachari wa Kigoma Kusini (NCCR), David Kafulila, ambaye yuko kwenye mzozo na chama chake kilichomfukuza uanachama, alisema kinachosumbua kwa sasa ni kukosekana kwa mfumo wenye usawa wa ulipaji mishahara na posho ndani ya serikali.

Kafulila alisema ni aibu kuona daktari akilipwa mshahara wa Sh. 900,000, lakini wapo maofisa wadogo tu katika mashirika ya umma kama Benki Kuu (BoT) au Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanachota hadi milioni saba kwa mwezi.

"Angalia Gavana wa Benki Kuu analipwa mshahara wa Sh. milioni 20, Mkurugenzi wa NSSF Sh. milioni 18, mbunge Sh. milioni 1.8, daktari Sh. 900,000," alisema na kuhoji hapa haki iko wapi.

Aliongeza kwamba waziri akisafiri nje ya nchi posho yake kwa siku ni Dola za Marekani 420 (sawa na Sh. 672,000) lakini Mkurugenzi wa Mkuu wa Shirika lililo chini yake anachota Dola za Marekani 800 (Sh. 1,280,000) kwa siku.

IPP Media

Hili suala la mishahara ya wafanyakazi wa umma pamoja na posho zao halijakaa vizuri hata kidogo pia utaratibu waposho sioni sababu ya mtumishi kulipwa posho anaposafiri kikazi kwani anapokuwa safarini mshahara wake upo palepale. Posho hizi hizi zinawafanya watumishi wa umma ambao ni mabosi kupora hata safari ambazo hawastahili kwenda wao. Napendekeza safari zote za nje na ndani ya nje ziwe bila malipo na badala yake serikali ilipie gharama za malazi na chakula kwa watumishi wake.

Hili linawezekana KABISA ninafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa tangu mwaka 1999 na huwa nasafiri sana nje ya nchi lakini sijawahi kulipwa hata senti moja kama posho ya safari. Niliwahi kuwachomekea hiyo hoja wakati fulani na jibu lilikuwa hivi *Man are yuo crazy! everything is covered in your salary* kama kungekuwa hakuna posho za safari za nje hata idadi ya watu wanaokuwa kwenye misafara ya raisi nje ya nchi ingepungua sana. Nawaapia kwamba kuna watu wanahonga mamilioni ili majina yao yawepo kwenye hii misafara kwa ajili ya posho tuu na wanapokuwa saferini kazi zao zinalala.Naomba kuwasilisha.
 
Kafulila(4).jpg

Kafulila mbunge wa Kigoma Kusini

Naye mbunge machachari wa Kigoma Kusini (NCCR), David Kafulila, ambaye yuko kwenye mzozo na chama chake kilichomfukuza uanachama, alisema kinachosumbua kwa sasa ni kukosekana kwa mfumo wenye usawa wa ulipaji mishahara na posho ndani ya serikali.

Kafulila alisema ni aibu kuona daktari akilipwa mshahara wa Sh. 900,000, lakini wapo maofisa wadogo tu katika mashirika ya umma kama Benki Kuu (BoT) au Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanachota hadi milioni saba kwa mwezi.

"Angalia Gavana wa Benki Kuu analipwa mshahara wa Sh. milioni 20, Mkurugenzi wa NSSF Sh. milioni 18, mbunge Sh. milioni 1.8, daktari Sh. 900,000," alisema na kuhoji hapa haki iko wapi.

Aliongeza kwamba waziri akisafiri nje ya nchi posho yake kwa siku ni Dola za Marekani 420 (sawa na Sh. 672,000) lakini Mkurugenzi wa Mkuu wa Shirika lililo chini yake anachota Dola za Marekani 800 (Sh. 1,280,000) kwa siku.

IPP Media

Hapa patamu, ila bado kuna kigugumizi kutaja vya yule wa magogoni. Ila ipo siku kuna mtu atathubutu kuropoka tu, hapa ni mwanzo tu.
 
Huyu kashapotea...sina hata hamu ya kumsikiliza!!

Jadili hoja hakuna sababu ya kumshambulia Kafulila. We Rajeo unaonaje juu ya tofauti za mishahara ya watumishi wa umma bila kufuata uwiano wa utendaji na uwajibikaji wao katika utumishi?
 
nchi inawenyewe, keki yetu inaliwa na watu wachache.

Wizi mtupu. Tunashangaa watu wanaajiriwa muda mfupi tu wanajenga mahekalu, ukifanya mahesabu ya mshara wake kujenga hekaliu hilo angehitaji miaka 20 ya utumishi.
 
Gud kafulila! haya ndiyo mambo tunayotaka kusikia watanzania sio hizi siasa zenu rahisi.ili uone gap ilivyokaa vizuri chukua mshahara wa mwalimu wa shahada na mfanyakazi wa BoT Form 4.uone aibu ya hawa majitu yasio na roho ambao siku zao zinahesabika
 
Very sad.
 
Back
Top Bottom