Usikose kumsikiliza Kamanda Mchome live kesho 9-04-2025

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,697
Reaction score
9,910
20250408_204021.jpg

Watanzania wote kesho macho na masikio yao yatakuwa kwenye kipindi cha supa breakfast.

Kumsikiliza Kamanda Lembrus Mchome yule yule mvunja nazi kwa ugoko.

Ataendelea kueneza elimu ya demokrasia ndani ya vyama vya siasa hususani upinzani na kupinga kwa nguvu zote udikteta uchwara.
 
View attachment 3297124

Kaenda leo Julius Mwita Power breakfast ya clouds, kapigwa maswali anazunguka tu. Waliopiga simu kwenye kipindi wamempaka sana. Mwishoni anajiliza kwamba Bulling wanazofanyiwa mitandaoni sio sawa. Inshort amejua wananchi wamesimama na msimamo wa chama, sio hao waliohongwa.
 
Vumilieni uhuru wa maoni kutoka kwa kila mwanachama. Lissu alivumiliwa alipoita maridhiano ni upumbavu.
 
View attachment 3297124

Watanzania wote kesho macho na masikio yao yatakuwa kwenye kipindi cha supa breakfast.

Kumsikiliza Kamanda Lembrus Mchome yule yule mvunja nazi kwa ugoko.

Ataendelea kueneza elimu ya demokrasia ndani ya vyama vya siasa hususani upinzani na kupinga kwa nguvu zote udikteta uchwara.
Nani amsikilize huyu pandikizi na dalali?
 
Daah jamaa ashatusua aisee, soon anakua kijani, anakula ubunge wa kuteuliwa, ukuu wa wilaya etc akiwaacha chawa waandamizi wa kijani wakihaha tu.

Ama kweli siasa ni uwekezaji.
 
Nani anatatizo na yeye kutoa maoni yake? Hata akitaka alale hapo studio ni haki yake. Na ikibidi wakodishiwe ndege waanze kuzunguka mikoani kufanya kazi waliyotumwa na ccm.
Wakati kina Lissu wanakosoa uongozi wa Mbowe walitumwa na nani?
 
Hawa vibaka wote wa G55 ndiyo wamejimaliza kisiasa labda waende chama kingine lakini kwa Chadema wamekwisha jifungia milango ya kuchagulika,hata reforms zikifanyika na uchaguzi ukafanyika hawa watapugwa chini kwenye kura za maoni yaani wanachofanya ni political suicide,kama kuna wenye akili wajitoe haraka na kutubu kabla hawajachelewa,wananchi wamekwisha kuwa blacklist
 
Wamejimaliza kama Dr Slaa?
 
Leo yenyewe mitandaoni ni hizoo media feki tu huko twitter hkna aliekua na hbr nae yni watu wamemuignore htri..
Takataka
 
Back
Top Bottom