Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Hapa juzi juzi tuliona Tigo imebadilisha jina kuwa Yas na kukawa na tetesi kuwa wanakwepa kodi. Akijibu swali bungeni kuhusu makampuni yanayobadilisha majina ili kukwepa kodi Mwigulu...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel. Yalikuwa ni majibizano kati ya PRE SCAN AUCTION MATT waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata...
29 Reactions
1K Replies
152K Views
Wakuu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kikao chake cha saba, mkutano wa 18, leo Februari 5, 2025, litapokea taarifa, maoni na maazimio kutoka kwa Kamati ya Utawala, Katiba na...
0 Reactions
1 Replies
490 Views
Why am I saying so? 1. Hazikuwa kampeni, lilikuwa ni kusudio la kupinduana, siyo kuchaguana kujenga chetu. 2. Why hazikuwa kampeni? Wana ndugu hawa kama tulivyokuwa tunawaona/tunawajua tulio...
24 Reactions
100 Replies
4K Views
Kiukweli CHADEMA hii imenikumbusha ile CHADEMA ya akina Mzee Shanga 1993 Sema Hawa ni Vijana Watupu very strong Nawatakia Kila la Kheri safari ni Hatua Mlale Unono 😀
2 Reactions
8 Replies
649 Views
Wakuu ,Nimefuatilia hotuba za Mh Wasira anapokuwa katika majukwaa nikajiuliza je amechelewa kuwa Makamu Mwenyekiti??Je ni kwamba CCM hawana mtu mwingine katika kushika wadhifa huu ambaye bado...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Kumekuwa na michango Mizuri kutoka kwa wabunge wetu,lakini pia kumekuwa na michango ya wabunge ambayo aijeng na aiwasaidii wapga kura wao,hivyo nimeona hapa tuwe na jukwa huru kuleta mawazo...
0 Reactions
1 Replies
333 Views
Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo...
9 Reactions
90 Replies
3K Views
Utangulizi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na historia ndefu na yenye umuhimu katika siasa za Tanzania. Hata hivyo, kwa miaka ya hivi karibuni, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu ufanisi wa...
2 Reactions
7 Replies
605 Views
Fikiria hawa ni raia wameuawa na M23 huku askari wetu wawili wa JWTZ na askari wanne wa South Africa waliokuwa wakiwalinda raia nao wakiuawa kikatili. Nchi ya Congo ingekuwa haina madini na...
19 Reactions
72 Replies
4K Views
Kitendo cha serikali ya Magufuli kununua ndege za biashara halafu kwa kipindi kifupi biashara ikatoa majibu kuwa ni biashara kichaa lakini serikali yake ikaendelea kuagiza ndege zingine...
0 Reactions
3 Replies
373 Views
Wadau hamjamboni nyote? Ni ushauri tu Kwa mujibu wa uhuru niliopewa na Katiba Itapendeza katika ibadikishwe na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania achukue nafasi ya Rais...
0 Reactions
6 Replies
529 Views
Alhamisi, Aprili 25, 2024 Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) linajenga Hoteli ya Kitalii ya nyota tano wilayani Chato, mkoani Geita, yenye lengo la kuvutia watalii katika hifadhi za mwambao huo...
4 Reactions
81 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Uchaguzi wa CHADEMA umemalizika Rasmi kwa Tundu Lissu Kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Sanjali na John Heche Kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wake. Ushindi...
14 Reactions
264 Replies
11K Views
Nimekubali hakuna biashara inayolipa vizuri kwa sasa kama ubunge. 200,000 kwa siku? Enough is enough! Kikao cha Bunge kikiendelea mjini Dodoma ZAPANDA KUTOKA SH70, 000 HADI 200,000, NI ZAIDI...
1 Reactions
152 Replies
12K Views
Mbunge wa Jimbo la Nyang’hwale, Hussein Nassoro Kassu, ameonya baadhi ya watu wanaoeneza madai ya uongo kuhusu matumizi ya mfuko wa jimbo, akisisitiza kuwa iwapo yeyote atabainika kusambaza...
0 Reactions
2 Replies
388 Views
Mapenzi haya ya Samia kwa Jenista ni sawa na uwehu, huyu waziri wa Afya wa sasa Jenista Mahagama ni kilaza kiasi kwamba hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi kusoma. Km anampenda sana kwanini...
33 Reactions
67 Replies
4K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewaonya wanachama wa chama hicho kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wanaokubalika na Wananchi katika uchaguzi ujao...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana JF; Leo nikasema ngoja nisikilize kidogo nyimbo za zamani kuanzia 2010 kurudi nyuma, nikaingia mtandaoni kuzipakua hasa zile nilizokuwa nazipenda... Sikuacha za Professor Jay...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Ni vile Madaraka ni Matamu tu ila ningekua mtoto au mjukuu wa Mzee Wasira ningemuomba kwa nguvu zote apumzike.
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Back
Top Bottom