Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MOja kwa moja kwenye mada,siku za karibuni kumekuwa na zoezi la serikali kutoa pesa kuchangia makanisa. Makanisa mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, Takatifu la Mitume, ambalo makanisa yake...
9 Reactions
119 Replies
6K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Steven Wasira, amesema kuwa sababu kuu iliyosababisha kuundwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 ilikuwa ni kuhakikisha usalama na kudumisha amani ya...
0 Reactions
3 Replies
450 Views
Mheshimiwa Maximilian Iranghe, amesema shughuli za maendeleo jijini zinaenda kwa kasi 💨 kutokana na usimamizi bora wa Mkuu wa Mkoa, Mhe. Paul Christian! Akihutubia kwenye maadhimisho ya miaka 61...
1 Reactions
1 Replies
450 Views
Haijalishi kwenye kampeni umejaza watu kiasi gani, wingi wa watu sio wingi wa wapiga kura. Kama hawajajiandisha hao ni watazamaji tu . Haijalishi una sera nzuri kiasi gani ila ili sera zako...
0 Reactions
3 Replies
298 Views
Reform=mabadiliko Resilience=ustahimilivu Reconciliation=kuridhiana Rebuilding=kujenga Upya Sasa kumetokea kambi moja inayotumia maneno hayo kama vile ni maneno au tabia yao na wengine wanapata...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero Said Nguya amewaasa vijana kuendelea kuilinda kwa wivu mkubwa amani iliyopo na kuwapuuza wale wote wanaotaka kuiyumbisha amani tuliyonayo kwa maslahi yao...
1 Reactions
1 Replies
242 Views
Hongera na pongezi nyingi ziende Kwa Rais wa nchi yetu Mhe.Samia Suluhu Kwa kukubali kutangaza utalii kupitia filamu ya "THE ROYAL TOUR". Mengi ya kukatisha tamaa yalisemwa kabla ya matokeo ya...
0 Reactions
2 Replies
545 Views
Wana JF, Tumekuwa tukifuatilia kampeni na Uchaguzi wa Tarime ambapo Mtu mzima pwaa! LAkini matukio yaliyoendela wakati wa Kampeni yalimuhusisha sana mtu aitwaye Peter Zakaria kwa mambo...
11 Reactions
153 Replies
46K Views
Kila siku tunaambwa R nne za rais. Kwanza, sijui kama anazijua vilivyo hata wale waliomzunguka. Pili, sioni zikifanyiwa kazi. Tatu, sioni zikitafsiriwa kupitia elimu ya urais kwa umma. Nne, ni...
1 Reactions
0 Replies
249 Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.... Siku ya Leo nimekuja na mada wezeshi na mada hii itasaidia kuwezesha watumishi wa Umma kuleta matokeo chanya katika utumishi wao...
0 Reactions
3 Replies
357 Views
Leo Tanzania ni Mwalimu katika mambo mengi, inaaminiwa katika mengi na inatambulika Kwa mengi sio tu Afrika bali duniani Kwa ujumla. Licha ya kwamba wanasema Nabii hakubaliki kwao lakini...
3 Reactions
70 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Ubia nchi PPP Mhe David Kafulila ameueleza umma wa Watanzania kuwa Wawekezaji hawawezi kuwekeza kwenye nchi ambayo haina Utulivu wa Kisiasa, Aidha Mhe Kafulila amesema ,Nchi...
22 Reactions
104 Replies
3K Views
Siku Daktari wa Sheria na Spika wa bunge Mhe.Tulia aliposema CCM haitoacha dola kamwe , kwa mara ya kwanza nilishtuka lakini baada ya kujiridhisha na hotuba nzima, nakiri kusema nukuu ya kipande...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Nikiwa kama kada mtiifu na muaminifu kwa JMT, nasema acheni kumsimanga na kumshushia lawama Mh. Rais kuwa anatumia madaraka vibaya. Vipi wewe kwa upande wako, endapo ungepata nafasi ya kuwa...
-1 Reactions
15 Replies
695 Views
Tundu Lissu: Tubadilishe tarehe ya Uchaguzi Mkuu kwa Miaka miwili ili tuwe na tume Huru. Waati akihutubia Maelfu ya Watu huko Mkoani Singida hii leo, amesema Uchaguzi uahirishwe. Amesema kuliko...
21 Reactions
78 Replies
4K Views
Bravissimo Al-Jazeera! Hapendwi mtu wala haogopwi mtu. Afanyaye zuri na jema, atapongezwa. Atayeharibu, atachanwa tu. Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya...
70 Reactions
137 Replies
9K Views
KAMATI YA BUNGE YARIDHIKA NA MAENDELEO MRADI WA MEMBE Yamuomba Rais Kuongeza Utoaji wa Fedha Miradi ya Umwagiliaji Dodoma. Kamati ya Kudumu ya Bunge, Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo...
0 Reactions
1 Replies
380 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amemtaka Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo kuomba radhi kwa watu aliowaumiza, huku akitaja kuwa aliwafitinisha. Makonda amesema hayo wakati...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa bahati mbaya haikuwa hivyo. Wamesikitika sana Mimi niliwaambia kuwa mtu mweusi hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo Hata Ndugai si kwamba alipenda , alilazimishwa. Cheo cha Urais Tanzania hii ni...
27 Reactions
67 Replies
4K Views
Salama wananzengo, Kwa sisi wakazi wa Segerea kata ya Bonyokwa kunapitia adha kubwa sana ya miundombinu ya barabara inayoelekea Kanisa Katoliki na kwa mbunge wetu Bonnah Kamoli. Hii barabara ni...
5 Reactions
9 Replies
564 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…