Wakuu , kwanza napenda kuwapongeza Watukufu Waislam kwa kumaliza kwa mafanikio makubwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan , Mwenyezi Mungu awajaalie kila lililo jema .
Hata hivyo ifahamike kwamba wakati...
Kiongozi wa kiroho na Mratibu wa Tanzania Peace Foundation (TPF) Kanda za Juu Kusini, Joshua Msigwa ameshangazwa na matamko yaliyotolewa hivi karibuni na baadhi ya Viongozi wa Dini kutaka...
Sioni sababu ya Lissu kupelekwa physically Mahakamani kama inawezekana kufanya kesi hiyo visually.
Misafara ya magari ya mahabusu huku kukiwa na kauli za mikusanyiko na makatazo ya mkusanyiko...
Wakuu,
Akiwa anazungumza muda mfupi baada ya kuachiwa na Jeshi La Polisi, mwandishi wa habari kutoka Global Online TV Grace Khuni amesimuliwa namna ambavyo alikamatwa na Jeshi La Polisi wakati...
Nani angedhania Ibrahim Traore anaweza kutokea kama mtu mwingine?
https://youtu.be/LAZvEVvWbz4?si=3p_Us_YL6BWaNWpc
Crew wa Air France na mwekezaji uchwara wa kifaransa wajikuta korokoroni kwa...
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa huo Walid Alhad Omary Kawambwa amewataka viongozi wa dini kutambua majukumu ya nafasi zao ikiwamo lile la...
Where We Dare To Talk Openly
Ukhulukutabu, usaliti na uasi ni maneno yenye maana moja, ambayo ukiyafanya dhidi ya nchi yakk
Kila raia aka mwananchi anawajibika kuzijua sheria za nchi yake...
Ndugu Rais.
Huku mtaani wananchi wana shock kubwa, hawaamini kinachoendelea nchini.
Wanasema kwa mujibu wa mashitaka ambayo serikali yako imemfungulia Lissu, huenda akanyongwa mpaka kufa. Idea...
Wizara ya Madini imetangaza kuwa Sekta ya Madini nchini Tanzania imepiga hatua kubwa ya kihistoria kwa kufikia mchango wa asilimia 10.1 katika Pato la Taifa mwaka 2024, ikiwa ni mwaka mmoja kabla...
Kila raia aka mwananchi anawajibika kuzijua sheria za nchi yake. Kutokujua sheria hakukubaliki mahakamani kuwa utetezi wa kuvunja sheria husika. Ignorance of the law is not an excuse ie ignorantia...
Nauliza tu kama kuna faida yoyote itapatikana kama Raia watajazana mahakamani kesi ya Tundu Lisu ikiendelea
Kwenye kesi ya Sugu kule Mbeya raia walijaa mahakamani lakini Sugu akafungwa
Mbowe...
Maandamano ya kesho sijui yatakuwa vipi. Kesho atakamatwa Lema na binti yake.
Lakini hili ni jambo serious. Hakuna haki katika nchi. Wananchi tunataka kurekebisha. Kesho yanapaswa kuwepo...
Ukichunguza kwa kina Mrema. Ntobi na wenzake G55 hawajawahi kupata misukosuko na serikali ukiachilia kunywa chai maofisini na siasa laini.
Na ndiyo siasa zao za kusaka fursa. Angalia historia ya...
RC Gambo amewaomba vijana wa CCM washirikiane na kupendana.
Gambo amesema UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao kazi yao kubwa ni kupiga majungu na kuendeleza fitina. Hata RC Makonda alipokuwa...
Nimefuatilia mjadala wako Gambo, unayo hoja na ukweli… changamoto kubwa ninayoiona ni CONFIDENCE and DUE DILIGENCE!
Hata Usimamaji wako….ni kama kuku wa Broiller anaeogopa mwanga wa jua.
Hatua...
Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai tarehe 24 Aprili 2025 litakutana na upinzani mkali wa kisheria. Tunaamini kuwa wale walio na dhamana hawatajishughulisha na...
Wengi wanalalamika sana. Kuwa huu ni ubaya na utaratibu huu sio ridhaa ya wanaCCM majimboni.
Wanahoji kwa nini majina matatu yatoke Dodoma na kisha ndio yapigiwe kura?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.