Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,348
- 144,913
Bravissimo Al-Jazeera!
Hapendwi mtu wala haogopwi mtu.
Afanyaye zuri na jema, atapongezwa.
Atayeharibu, atachanwa tu.
Jana kituo cha Al Jazeera kilitumia muda wake kutangaza kuhusu kesi ya “uhaini” inayomkabili Tundu Lisu.
Naombea na vyombo vingine vya habari vya kimataifa navyo viendelee kuiangazia mwanga serikali dhalimu ya Samia whatever else her names are!
Kwa masikitiko makubwa, natamani kipindi cha HARDtalk cha BBC kingekuwa bado kinaendelea. Hakipo tena hewani.
Ningejitolea kwenda kufanya nao mahojiano nimchane Samia na CCM yake.