Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ogopa Mungu na Teknolojia. Pongezi Kwa ndugu wa muigizaji aliyempiga picha na kuuhabarisha umma kinachoendelea ICU.
22 Reactions
117 Replies
8K Views
Tundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison. Not so sure where exactly is he being taken ——— UPDATE: My insider indicates that he has been moved to Ukonga...
38 Reactions
352 Replies
24K Views
CCM msikilize baba wa taifa kuhsu democracy na tabia ya mwanasiasa kununulika kwa fedha..umalaya malaya
0 Reactions
2 Replies
372 Views
Askofu Gwajima, mbunge wa CCM, na kiongozi wa Kanisa la Uzima na ufufuo amesema kuwa nchi haina haki, maisha ya mwanadamu hayathaminiwa. Akasema hakuna sababu ya kuteka watu. Akauliza ni kwa nini...
14 Reactions
42 Replies
3K Views
Mambo mengine kwa kweli hata Serikali ya kijiji haiwezi kufanya Kujua ni lini Mrisho Gambo alikuwa RC wa Arusha kunahitaji Kamati ya Maadili kweli? Tena kwa kulipana Posho ya kikao? Niishie hapo
3 Reactions
7 Replies
588 Views
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) limekamata meli mbili zilizokuwa na bendera ya Tanzania, zikidaiwa kuwa zilisafirisha mafuta ya dizeli kwa njia ya magendo katika Ghuba...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu Ulishawahi kuwa na wafanyakaz wenzako mlioshibana kabsa mnapiga story na kuambiana mambo mengi sana ila kumbe wafanyakaz wenzako wanakukubali kwa sabab tuu boss anakukubal hata ukisema kitu...
6 Reactions
9 Replies
877 Views
Habari za leo ndugu viongozi wa elimi Mkoa wa Kilimanjaro? Siku ya jana viongozi wa Maafisa elimu Kata Mkoa(wenyeviti wa Halmashauri zote na Mkoa) tumepokea maelekezo kutoka kwa REO kutuomba...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Kwanza nikupe maua yako Mhe. Aida Mbunge wa Nkasi. Mimi pia ni Mkatoliki na uliyoyasema yana ukweli kwa asilimia 100. No Reform No Election umeletwa na uchaguzi mbaya na wa hovyo wa Serikali...
1 Reactions
0 Replies
479 Views
Katika mjadala wa maendeleo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi wa taifa lolote, hoja ya uadilifu wa viongozi huwa inajitokeza kama msingi wa mafanikio. Hata hivyo, historia ya mataifa mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 23, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2025/2026...
0 Reactions
4 Replies
655 Views
Kituko namba moja katika taifa hili ni vijana hasa hawa wanaoitwa Graduate wa vyuo vikuu vyote hapa Tanzania,Uwezo wa uelewa IQ umeshuka sana kwenye Taifa hili,Hawa ni vija na wa BRN( BIG RESULTS...
1 Reactions
0 Replies
281 Views
Lile like Kundi ambalo linawapitisha Msoto akina Lissu na Heche. Kundi lilelile ambalo lilikubali Samia awe Rais Kwa makubaliano naye. Kundi lilelile ambalo lilimuacha Samia afanye anavyopenda...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Anaandika Padre Silvio Mnyifuna,Mwl na mlezi wa Mafinga seminari KADIRI YA SHERIA ZA KANISA KATOLIKI KIONGOZI WA DINI ANA HAKI NA WAJIBU UPI KUHUSIANA NA SERIKALI YA NCHI KATIKA KUSHAURI NA...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Akina Juliana Shonza, David Silinde, Mwampamba, Zitto Kabwe na wengine wengi wametimkia CCM Akina Bomny Yai, Sugu, Halima Mdee, Salome Makamb nk nao kiroho wako CCM John Heche peke yake ndio...
1 Reactions
9 Replies
704 Views
BALOZI NCHIMBI: TUSIVURUGWE MIEZI MICHACHE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Aelekeza RC, Mawaziri wawili kulipa fidia Nyatwali – Bunda Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John...
0 Reactions
4 Replies
730 Views
Madiwani Maswa kwenda Mbarali kujifunza kilimo cha mpunga hayo ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi. Madiwani hao wamebakiza miezi miwili baraza hilo livunjwe sasa kuwapeleka Mbarali kuna...
1 Reactions
1 Replies
471 Views
Mheshimu mjumbe mwema ili upate heshima njema, mtendee wema mjumbe yoyote ili umjue vizuri yule aliyemtuma na msimchukie mjumbe kisa ujumbe wake haukupenda. Mfanye mjumbe kuwa rafiki yako na kamwe...
50 Reactions
72 Replies
4K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameendelea kusema kiwa wakazi wa Dar es Salaam wamekuwa nyuma katika harakati za kudai mabadiliko na badala yake...
21 Reactions
139 Replies
6K Views
Juzi nilipost mambo Saba yatakayotokea kueleka UCHAGUZI MKUU 2025 na jambo la kwanza nilisema Mh. Tundu A. Lissu ataachiwa kabla ya mwezi Juni kuisha. Leo zimezuka taarifa kuwa Mh. Tundu Lissu...
43 Reactions
157 Replies
13K Views
Back
Top Bottom