Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Madikteta mara nyingi Huwa mafisadi vilevile. Hawa watu hupenda sana kuwapa watu rushwa ili kuwanyamazisha,Wengine hupewa rushwa kubwa Wengine huambulia vitu vidogovidogo kama mtungi wa...
1 Reactions
0 Replies
263 Views
"Naitwa Pendo, Jana nilitoka nyumbani kwa ajili ya kwenda mahakamani kusikiliza kesi ya Lissu, niliwahi sana kufika mahakamani, nikakuta akina Pambalu, Mwaipaya na viongozi wengine. Tulishauriana...
8 Reactions
88 Replies
4K Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amemuagiza Katibu tawala wa mkoa kuwaandikia barua za onyo wakuu wa wilaya 5 kwa kushindwa kutimiza wajibu wao. Gambo amesema wao kama mkoa walipeana malengo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ameeleza kwamba Jiji la Arusha halina uwezo wa kifedha wa kutekeleza miradi yoyote ya maendeleo kwani miradi yote inayojengwa kwa sasa katika jiji la Arusha...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Hii ni Updates kutoka kwenye Timu yetu inayozunguka Mahospitalini Tutaendelea kuweka orodha ya majeruhi pamoja na vifo kutoka Mahospitali mengine kwa kadri timu yetu itakavyoripoti =======...
37 Reactions
310 Replies
14K Views
Ukiangalia mradi wa ujenzi wa barabara za mwendo kasi kwa makini utagundua wahusika wakuu kufanya maamuzi kishawishi kwao kikuu sio lengo la kutatua tatizo la usafiri jijini ila tatizo la usafiri...
1 Reactions
0 Replies
367 Views
Sasa ni rasmi kuwa nchi imeendelea na ustawi wa watu umeanza kuonekana. Mwalimu Nyerere na Mzee wetu Karume wanaweza kuwa wanafuraha huko walipo miaka 61 ya Muungano Serikali zote zimejitahidi...
0 Reactions
0 Replies
227 Views
Kilikuwa kikao cha dharura au ghafla lilichoandaliwa na makardinali baada ya lkuona Trump anataka kumkoromea tena Zelenesky Katoliki wanapenda Amani kwa kweli Mlale unono 😁🇹🇿
0 Reactions
2 Replies
195 Views
Ukisika ubaya ubwela ndiyo huu baada ya kusikia wimbo ukiibwa na baadhi ya wanachama wa CCM wakisema wapinzani wakifa atulii bali tunawatupa mtoni waliwe na mamba! Sasa kwenye video hii...
2 Reactions
10 Replies
804 Views
Kwa sasa, tunaona mwanamke anayewania urais pamoja na chama cha siasa kinachotaka mgombea wao wa nafasi hiyo awe mwanamke. Hata hivyo, dini inasema bila utata kwamba mwanamke haruhusiwi kuwa...
25 Reactions
148 Replies
5K Views
Wanabodi, Wakati mchakato wa kelekea kwenye Katiba Mpya unakwenda vizuri na sasa ni wazi tunaelekea kwenye serikali tatu, baada ya miaka hii 50 ya Muungano uliozaa Taifa la Tanzania, tufike...
8 Reactions
53 Replies
11K Views
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani ametoa wito kwa vijana kuendelea kuyasema mema na mazuri yanayofanywa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu...
2 Reactions
3 Replies
407 Views
Hii ni aibu! Hii ni fedheha kwa jeshi letu la polisi! Hii imevunja rekodi ya dunia kwa polisi kuwakamata "wahalifu" na kuwatupa porini badala ya kuwaweka mahabusu! Eti polisi wa Tanzania wanatupa...
43 Reactions
109 Replies
4K Views
Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu, amewataka wananchi wa Buchosa kuendelea kumuunga mkono Dk. Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine walioko madarakani ili waendelee kuwaletea...
0 Reactions
9 Replies
511 Views
MOja kwa moja kwenye mada,siku za karibuni kumekuwa na zoezi la serikali kutoa pesa kuchangia makanisa. Makanisa mbalimbali likiwemo Kanisa Katoliki, Takatifu la Mitume, ambalo makanisa yake...
9 Reactions
119 Replies
6K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Steven Wasira, amesema kuwa sababu kuu iliyosababisha kuundwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 ilikuwa ni kuhakikisha usalama na kudumisha amani ya...
0 Reactions
3 Replies
450 Views
Mheshimiwa Maximilian Iranghe, amesema shughuli za maendeleo jijini zinaenda kwa kasi 💨 kutokana na usimamizi bora wa Mkuu wa Mkoa, Mhe. Paul Christian! Akihutubia kwenye maadhimisho ya miaka 61...
1 Reactions
1 Replies
450 Views
Haijalishi kwenye kampeni umejaza watu kiasi gani, wingi wa watu sio wingi wa wapiga kura. Kama hawajajiandisha hao ni watazamaji tu . Haijalishi una sera nzuri kiasi gani ila ili sera zako...
0 Reactions
3 Replies
298 Views
Reform=mabadiliko Resilience=ustahimilivu Reconciliation=kuridhiana Rebuilding=kujenga Upya Sasa kumetokea kambi moja inayotumia maneno hayo kama vile ni maneno au tabia yao na wengine wanapata...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero Said Nguya amewaasa vijana kuendelea kuilinda kwa wivu mkubwa amani iliyopo na kuwapuuza wale wote wanaotaka kuiyumbisha amani tuliyonayo kwa maslahi yao...
1 Reactions
1 Replies
242 Views
Back
Top Bottom