Mazingira, muundo, maudhui, mabaya, mapengo na mapendekezo kuhusu hotuba ya Rais Samia ya tarehe 25 Aprili 2025:
Mazingira ya hotuba
Hotuba ya Rais Samia imeandaliwa, na inapaswa kutathminiwa...
UTANGULIZINajitokeza kuandika walaka huu huku nikitambua ya kwamba Rais Nyerere alisema maadui watatu wa taifa ni ujinga ,maradhi na umaskini lakini mimi Kaberwa nasema maadui wetu ni uvivu,uoga...
Mungu huweka serikali na viongozi kwa wakati na muda anautaka yeye. Warumi 13.
Najuwa kuna watu hamuwezi kupenda ila leo natamani mjiulize ktk serikali ya hayati Magufuli idadi ya viongozi ndani...
Tatizo la viongozi hawa Mama zetu ni kwamba wanaogopana wenyewe kuliko kuogopa viongozi wanaume. Tuone tu mfano wa huyu Mama
Viongozi wote wanawake ambao yeye mwenyewe ndiye alikuwa anataka kuwa...
Makamu mwenyeki CHADEMA Bara Heche, ataongea na Wanahabari leo.
Pia ataelezeza kinagaubaga kilichotokea na kinachoendea na kitakachoendelea.
Nitakuwepo mbele kabisa...
1. John Pambalu, Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi.
2. Twaha Mwaipaya.
3. Lucas Ngoto mwenyekiti wa Chama kanda ya Serengeti.
4. Na wanachama wengine
Wamepigwa na kuumizwa sana...
Tusimlaumu Raisi Samia pekee viongozi wa vyombo vya usalama TZ hawana Uzalendo
Polisi na usalama kuiba kura wakati wameapa kulinda sheria huo ni uzalendo wa aina gani?
Polisi na usalama kula...
Mambo vipi?
Mimi kwa akili zangu tu ninavyoona watanzania wanaofuatilia kesi ya UHAINI inayomkabili kamanda TUNDU LISSU na kufikiri hataukumiwa kifungo cha maisha wote ni wajinga kwa sababu pale...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama Cha Mapinduzi UVCCM Taifa, CDE. Mohamed Kawaida amewataka Vijana nchini kutojiusisha na kuvuruga amani ya nchi tuliyonayo katika kipindi hiki cha...
Akitokea Kijijini Chato akapita Dodoma,akamwapisha Jaji mmoja aliyetoa hukumu kwa lugha ya kiswahili,ndani ya wiki mbili ndani ya Ikulu ya Dodoma akaota ndoto,kwa kiingereza wanasema "nightmare"...
Nilikuwa naongea na rafiki yangu yupo Kariakoo kuhusu kupigwa Kwa wanachadema waliokwenda kuhudhuria kesi ya Lissu kwenye mahakama ya Kisutu.
Jamaa yangu huyo akaniambia CHADEMA wamejitakia...
Lucas Ngoto Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Serengeti ni miongoni mwa walikamatwa nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam wakati akitaka...
"kuanzia saa tatu asubuhi niliwekwa kizuizini ndani ya gari mpaka saa moja na nusu usiku, ni tukio ambalo nalitafsiri kwamba polisi waliniteka na kuniweka kizuizini ndani ya gari mpaka saa moja...
Kinachotakiwa sasa kuwekewa mkazo sio tu katiba mpya ni mifumo ya kiuchaguzi bali na jeshi jipya, haiwezekani leo hii jeshi linauwa raia wasio na hatia bila huruma alafu alichukuliwi hatua zozote...
Leo mzee mmoja wa chadema, na mwanamke mmoja mwanachama hai wa chadema, wameongea na Wana habari, na kusimulia yaliyowakuta Jana, Jana watu walitekwa ,pigwa ,vunjwa miguu na wengine kupigwa na...
Huwezi kulala usiku, Asubuhi utoe zuio kama hilo, Bila kujua ni Bidhaa gan ' perishable goods ' ziko njiani kuelekea Nchi Jirani , na Zuio kama lake litagharimu Hasara kiasi gani.
Pia soma...
Dr Nchimbi Amekuwa Mwenyekiti wa UVCCM, DC, Mbunge, Waziri, Balozi, Katinu mkuu wa CCM na inshara October atakuwa Makamu wa Rais wa JMT
Songea hadi Mbambabay mbarikiwe sana kwa hii CV ya kijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.