Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

mimi sio mwanasheria lakini naamini mojawapo ya mabadiliko yaliyofanyika ni pamoja na kuibadili tume kutoka TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NA KUWA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI. Katika jaribio la...
2 Reactions
56 Replies
3K Views
Viongozi wa kidini hutoa matakwa yao kwa viongozi wa kisiasa kwa ujumbe na vikao maalumu ambavyo jamii haiwezi kuvitambua. Privacy na Confidentiality juu ya maswala yanayoikumba jamii...
2 Reactions
12 Replies
672 Views
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na clip ya mahojiano inayomhusu mtoto wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe. Nimeshangaa hadi sasa wafia chadema kama Erythrocyte...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Tumeshuhudia siku za hivu karibuni uharamia wa kiwango cha hali ya juu sana ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya Taifa letu, uharamia unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wananchi wasio...
15 Reactions
39 Replies
2K Views
Tofauti na waislam ambao wanaruhusiwa kujenga misikiti yao binafsi na kuikabidhi kwenye uongozi,hali iko tofauti kwa kanisa katoliki Huwezi kujijengea kanisa na kulikabidhi kwa jimbo bila kufuata...
33 Reactions
150 Replies
8K Views
Katibu mkuu John Mnyika anaonesha video ya mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Noeli Mhema akiwa amelala chini baada ya kupigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa ambapo pembeni wanaonekana polisi...
17 Reactions
82 Replies
7K Views
Wakuu natumaini mu wazima. Padree kapigwa na haihitaji kuwa na D2 ndio ung'amue bali inahitaji tu kuamka na kuambiwa na kuona na kusikia. Padree alikemea mambo ya kusingiziana na kunyimana haki...
0 Reactions
7 Replies
396 Views
Ndugu zangu Watanzania, Katiba siyo msaafu wala siyo Biblia. Katiba yetu ilitungwa na wanadamu ambao ni watanzania kwa lengo la kuwa kama muongozo wa masuala mbalimbali ya kuongoza Nchi yetu...
-7 Reactions
165 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Njombe, Seth Vegula, amesema kuwa kama viongozi wa chama, wameguswa sana na hali ya sasa ya kisiasa nchini, akisisitiza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
271 Views
Waswahili wanasema hivi; "...ukiona mwenzio kanyolewa, basi wewe jiandae kwa kutia maji kichwa chako, maana inayofuata ni zamu yako..." Dali zote zinaonesha kuwa vita iliyopo sasa Tanganyika ni...
3 Reactions
12 Replies
852 Views
Mimi sio mbaguzi wa jinsia Ila hata hapo nyumbani kwako mkeo akishika usukani wa kuongoza familia ujue familia itayumba tu Sio mpango wa Mungu mke kumtawala mume
11 Reactions
40 Replies
1K Views
Nawakumbusha tuu bwana Hanspaul anaweza kuwa shujaa wa wafanyakazi kwani akichangia kwenye mjadala wa Dira ya Taifa ya 2050 alipendekeza Kwa Serikali iondoe Kodi kwenye salary ya Lakini 5 na...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Kwa mwenendo wa matukio yanayoendelea ni dhahiri kuwa uchaguzi utakaofanyika utagubikwa na upendeleo na unyang'anyi wa haki za wananchi. Utaegemea upande fulani wenye nguvu, na sio kufuata...
2 Reactions
16 Replies
729 Views
Utekelezaji wa mradi wa Bomba la kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda mpaka Chongoleani, Tanga-Tanzania (EACOP) kwa ujumla umefikia asilimia 55 na umeweza kuajiri jumla ya Watanzania...
0 Reactions
1 Replies
392 Views
Ukitaka kujua nguvu ya kanisa ni pale itakapoatangazwa rasmi kanisani kuwa jumapuli baada ya ibada kuwe na maandamano ya amani kupinga ukatili aliofanyiwa Rev Kitima Kuna chawa ni popo,ni waumini...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Tangu zoezi la kubinafsisha bandari ya Dar es salaam kwa waarabu wa DP WORLD hapo ndipo rasimi vita baridi ya kidini ilianza baina ya Christianity na Islam. Lakini wakati huo huo vita baridi ya...
9 Reactions
34 Replies
1K Views
Tuzidi kumuombea Ahsanteni sana
0 Reactions
1 Replies
228 Views
Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Mkoani Singida kitaifa, leo tarehe 1 May, 2025. https://www.youtube.com/live/MHXv41BdFrI?si=s-YLjva6CvZuccs_
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Ni malumbano makali kati ya John Heche [M/Kiti - CHADEMA - kanda ya Serengeti] na Dr W. P. Slaa [Former GS wa CHADEMA] huko club house moja usiku wa kuamkia leo Alhamisi trh 28/4/2022.. Msingi...
10 Reactions
189 Replies
12K Views
Matukio ya kuteka, kupoteza, kuua, na sasa kushambulia wasiokubaliana na serikali vimeanza kuzoeleka nchini. Hali ni mbaya. Mbali na ufisadi uliogeuka donda ndugu, jinai ya kuangamiza, kutisha...
0 Reactions
0 Replies
178 Views
Back
Top Bottom