James Mbowe:Amesema mazito ambayo wana JF hatujajuzwa!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,412
Reaction score
31,916
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na clip ya mahojiano inayomhusu mtoto wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe.
Nimeshangaa hadi sasa wafia chadema kama Erythrocyte hawajatuletea mahojiano hayo humu jamvini.
kama vile mbuni anavyoficha kichwa na kuacha mwili.
hebu leteni msimamo wa mtoto wa Mwenyekiti Mbowe tuujadili bana...!
 
Upload/pandisha, tuyaone uzito wake?!
 
Wewe uliyesikia na kukutana nayo si ungetuletea. Au lengo ni nini kukimbia mbio hapa na kilichokuleta mkuku mkuku umekiacha nyuma yako?
Au ndio tabia ya ushapikuna??
kwamba huamini au?
 
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na clip ya mahojiano inayomhusu mtoto wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe.
Nimeshangaa hadi sasa wafia chadema kama Erythrocyte hawajatuletea mahojiano hayo humu jamvini.
kama vile mbuni anavyoficha kichwa na kuacha mwili.
hebu leteni msimamo wa mtoto wa Mwenyekiti Mbowe tuujadili bana...!
Hujasema kwa hisani ya mtu wa Tanzania!
 
Back
Top Bottom