Loh!
Pesa nitoe mfukoni kwangu, nikununulie RUNGU Ili unilinde, nikununulie boots, nikupe silaha, nikulipe mshahara, Kisha unigeukie na kutumia silaha hizo hizo kunidhuru Mimi bosi wako!
Nauliza...
1. Hii Migomo inaonyesha wafanyabiashara Kariakoo na kwingineko wanaleta mchezo kwenye kulipa kodi.
2. Inafaa Sasa TRA libadilishwe kuwa Jeshi Usu kama taasisi za Maliasili, Misitu.
3...
Akitoa elimu ya Uraia na Katiba Mpya kwa Wananchi wa Kigoma kwenye Uwanja wa Mwanga Center , Mh Lissu amesema kwamba wananchi wa mipakani wanapohoji masuala ya nchi yao , ama wanapounga mkono...
Wataalamu wa ubashiri na nyota na pia jamii ya wana intelligensia tumeyasikia matukio haya mabaya yaloyotokea Ndani ya nchi hizi jirani.
Ikumbukwe mwaka 1998 kuliwahi kushuhudiwa mashambulio ya...
Bandiko kutoka X
LA PADRI KITIMA LINATEGUA KITENDAWILI CHA MUDA MREFU
Walianza kuwamwagia tindi kali kina Sheikh Soraga kwa lengo la kufitinisha na kuwagawa Wazanzibari. Wakamuua Padri Mushi...
Rais Samia alitoa fursa kwa vyama vyote kukaa chini ya uenyekiti wa Prof Mkandara na kutoa mapendekezo ya reforms zote ili serikali itekeleze
Mbowe na Chadema wakakataa kwa madai kuwa wao ni...
Chonde chonde kwenye inada zetu za Jumuiya kesho jumamosi tufanye Sala na kutawanyika kila mmoja nyumbani kwake
Ukristo ni Upendo, Msamaha na Furaha
Tumsifu Yesu Kristo 😁😁
Mkurugenzi wa Taasisi ya Twende Pamoja na Mama Sports Promotion Mohamed Haji amefunguka dhamira ya kufanya Dua maalum Kizimkazi Zanzibar, na kusema kuwa Dua hiyo ni kumshtakia Mungu kuendelea...
Jakaya Kikwete -Mlimuita mpole
John Pombe Magufuli -Mkasema dikteta
Samia Suluhu Hassan-ndio mnataka kumtafutia jina
Ushauri:
Kaeni chini na Mbowe mjipange upya ni namna gani mtaweza kuushawishi...
Kuna kila na strong justification sababu ya kuimarisha Ulinzi wa Askofu bagonza kwa msimamo wake wa kutetea HAKI.
Yaliyotokea kwa Fr. Kitima hayako mbali naye kwa msimamo wake wa kiroho kutetea...
GT
Nimepiga hesabu zangu zinakataa katakata uchaguzi haupo, Nimepiga ramli, nimeongea na wazee lakini wapi mababu wanasema mwaka huu mgumu sana.
Sijui huko Mbeleni kitatokea nini ila uchaguzi...
Baada ya kuelezwa Kuwa Kifo ni Kifoo, na hiki cha Mzee Kibao ni Kifo Tu, Kwa nini hicho kina kelele Sana.
Na tukapewa mlinganisho wa Mtoto wa Shule Kwa walioendelea kapiga risasi na kuua wenzake...
MBUNGE LUCY SABU: DKT. SAMIA ANA KURA ZA KISHINDO SIMIYU
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa kutokea Mkoa wa Simiyu, Lucy John Sabu amesema kuwa kutokana na maendeleo makubwa aliyofanya Rais wa...
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Frank Kailembo amekemea wanasiasa wanaowasemea watumishi wa umma na kueleza kuwa yapo majukwa na taratibu za kisheria zinazowapa mwanya...
Kwa sababu ya tatizo kubwa la ajira the vijana wanaomaliza vyuo hoja ya waziri mkuu Majaliwa inahitaji mjadala wa kina zaidi badala kupuuzwa kwa sababu ya kutoeleweka kwake na hasira ya...
Kufanya kazi sekta binafsi nchi hii ni zaidi ya kuwa mtoto yatima hawana mtetezi, kamishna wa kazi yupo tu km bendera. Kuna maeneo km vyuo vikuu binafsi wahadhiri wana mishahara midogo kuliko...
Ndugu zangu Watanzania,
Nikiangalia namna Rais Samia anavyoongoza Taifa letu katika muelekeo sahihi na wenye kuleta matumaini. Nikiangalia namna maendeleo makubwa na mambo makubwa yaliyofanyika...
Ieleweke wazi kuwa Kanisa Katoliki halifanyi siasa ila kuna baadhi ya mapadre na maaskofu ndio wanafanya siasa sio wote
Wengine wako kwenye shughuli zao za kitume hawahangaiki na siasa
Kusema...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema mtu yeyote asiwagombanishe wananchi kwa sababu wakigawanyika hakuna maendeleo yanayoweza kufanikiwa.
Shigongo amesema atatangulia mbele ya wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.