Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mahakama kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar Es salaam inatarajiwa Mei 22, 2025 saa mbili asubuhi mbele ya Jaji Obadia Bwegoge anatarajiwa kusikiliza Waasisi wa chama cha siasa cha Independent...
0 Reactions
2 Replies
444 Views
Ni muda mzuri kuwasikilizisha wana CCM jambo hili..kwa kifupi kabisa, siasa za Tanzania zimechukua sura mpya ya UHASAMA mara tu Stephen Wassira alivyokuwa Makamu Mwenyekiti CCM Taifa, uhasama...
0 Reactions
1 Replies
280 Views
PENDKEZO LA KESI- ICC DHIDI YA SERIKALI YA TANZANIA- WANASHERIA CHADEMA AMKENI NA MFANYE KAZI- FOFOFO HAIWATOI KWENYE NO REFORM NO ELECTION. NAWAPA MUONGOZO BILA MALIPO. Kichwa: Pendekezo la...
3 Reactions
5 Replies
941 Views
Wafanyakazi wa hii aridhi ya Tanzania hawana tofauti na Wanafunzi wa Chekechea, ambao wanaogopa hata kuomba ruhusa mwalimu awende kujisaidia na hadi wanajikojolea au kujinyea. Wafanyakazi ni...
1 Reactions
8 Replies
616 Views
Na John Mrema kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X KWA HESHIMA NIMEJIBU ANDIKO LA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA DR. RUGEMELEZA NSHALA, GROUP LA MASWALI MAGUMU Mwanasheria Mkuu wa Chama, salaam...
7 Reactions
53 Replies
3K Views
Huu utaratibu wa watu aina ya Steve Nyerere na Sheikh Mwaipopo kushambulia viongozi wa kanisa wanapotoa maoni yao ni jambo baya na la hovyo sana, taasisi za dini ni sehemu ya jamii yetu na zina...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Ali Omari Mwanachama wa Chadema kutoka Kigamboni, alikamatiwa nje ya geti la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kupelekwa na kuachwa Temeke, karibu na stendi ya Sudan. Kupata matukio na taarifa...
0 Reactions
5 Replies
403 Views
Hii TLS ya mwambukusi mara hata 1000 ya ile ya Edward Hosea, Hosea pamoja na kuwa alikuwa ni wa mfumo ila anagalau kiasi. Fikiria mwanachama wao na kiongozi wao anakamatwa anasweka ndani, wako...
1 Reactions
6 Replies
598 Views
Kwanini matamko yao yanaungwa mkono na viongozi wa dini? Ni either wanaanza wao kusema au kutoa tamko na halafu viongozi wa dini flani wanaunga mkono na kusisitiza au wananza viongozi wa dini...
8 Reactions
143 Replies
3K Views
Kupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
7 Reactions
68 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Serengeti, Lucas Ngoto amesikitishwa na taarifa ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro ya kudai...
1 Reactions
1 Replies
239 Views
Jamani wanajumuiya ya Wa-Tanzania tuishio British Virgin Islands tumeshutushwa na habari kuwa kuna baadhi ya viongozi wetu serikalini wana shahada za PhD kutoka kisiwani hapa. Ukweli hapa hakuna...
4 Reactions
760 Replies
163K Views
Haya ni mahaba niue ya watu na rais wao yasiyokuwa ya kulazimishwa: Haya ndiyo ya TAL na wananchi wakiwamo mapolisi wako unaowatuma kumkamata au kutupiga na kutunyanyasa. Uongo mbaya hapendwi...
6 Reactions
13 Replies
546 Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amekanusha jeshi hilo kuwakamata makada wa Chadema waliokuwa wakihudhuria kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu katika...
6 Reactions
73 Replies
5K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha kuwa kauli aliyoitoa katika hotuba ya maadhimisho ya Muungano kuhusu uchaguzi huru...
0 Reactions
3 Replies
420 Views
Wanachama 38 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Buchosa, wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM. Miongoni mwao yupo aliyekuwa katibu mwenezi wa chama hicho katika...
0 Reactions
13 Replies
813 Views
Nimefuatilia hoja za mbuge wa Chadema covi 19 kuhusu hoja zake kinzani na No reforms No Election kwamba Chadema wamejishauri vibaya kwa kukataa kusaini kanuni na kwamba muda uliobaki wa kufanya...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Kama serikali yetu ingekuwa na chembe ya uungwana ilitakiwa itoke na kuomba radhi kwa madhila yaliyotokea kwenye zilizoitwa chaguzi katika miaka tajwa hapo juu. Na kwa ushahidi huo ilipaswa CCM...
12 Reactions
39 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa CHADEMA aonyesha ushahidi Kwa Ulimwengu kuwa Polisi waliwakamata zaidi ya watu 20 na kisha kuwaondoa maeneo ya Kisutu kisha kuwatelekeza sehemu za Coco Beach, Ununio, Mabwepande...
7 Reactions
18 Replies
3K Views
Hujui lolote kuhusu mikataba ya Kimataifa. Shut Up!
15 Reactions
62 Replies
2K Views
Back
Top Bottom