Nchi kwa sasa inajiendesha yrnyewe na imefila kwenye ile formulae ya survival of the fittest. Kama huauko fit kujilinda basi unatekwa na wasiojulikana au hakuna anayekujali kabisa as if serikali...
Tuwe tu wakweli tangu alipoingia mzee Mkapa madarakani CCM ilia za kutumia maguvu kutokana na aina ya Siasa za Upinzani zilivyo
Hakuna Rais atakubali CCM Ifie mikononi mwake
Kanisa linapiga...
Mara nyingi mambo unayoona yanatokea hapa bongo ujue wanaigilizia pahala fulani
Jaribu kufuatilia matokeo ya Uchaguzi unaoendelea UK ndio utajua Chadema wanacopy mbinu mikakati kutoka huko...
Wanachama 44 wa CCM na CUF katika Kijiji cha Namiungo Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wamejiunga na Chama cha ACT Wazalendo mbele ya Katibu Mkuu wa chama hicho Ado Shaibu jana tarehe 1 Mei 2025...
Raisi wa Finland Mwezi huu atavisit nchi kafhaa za Africa ikiwemo Tanzania, sasa tunataka afikiria mara mbili mbili kujusu kuvisi Tanzania make nchi isha haribika imekuwa nchi ya kuuana na...
Ndugu zangu Watanzania,
Muwe Mnaelewa tunaposema ya kuwa CCM ndio chama chenye uchungu na Maisha ya kila mtanzania, ndio chama chenye kujali watu pasipo ubaguzi ,ndio chama chenye huruma ,upendo...
* Asema unampigia debe mmoja wa wanasiasa nchini
* Aonya walio chini yake kutojiingiza, Tume yasema ni hatari
NA MWANDISHI WETU
MKUU wa makanisa ya Evangelistic Assemblies of God Tanzania...
Fuatilia kinachojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Mei Mosi Kitaifa, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, leo Mei 1, 2024
https://www.youtube.com/live/ou5SjfKQdUs?si=ZGhP6q5GsAM4R5SS
Maadhimisho...
Tunaomba mama siku ya sherehe za siku ya wafanyakazi uje umejipanga. Hujawai ongeza mishahara tangu umeingia madarakani. Mwaka huu Tunaweza Fanya mabadiriko
Utangulizi
Mei Mosi ni siku ya kimataifa ya wafanyakazi, inayotumika kutambua, kusherehekea, na kuangazia mchango muhimu wa wafanyakazi katika maendeleo ya taifa. Katika Tanzania, siku hii...
Usiku unazidi kuwa mzito, sio tu kwa sababu ya giza bali kwa ukimya wa kiongozi wetu mkuu! Zaidi ya saa 24 zimepita tangu Katibu Mkuu wa TEC, Padre Kitima, kuvamiwa na kuumizwa kinyama — lakini...
Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo.
Wafanyakazi ni kundi muhimu sana la wapiga...
Kuhujumiwa
1. Kwamba kuna watu wanafanya mambo mabaya ili aonekane mbaya
My take: If that is the case
a) Ina maana hana taarifa kuwa jambo fulani baya limetendwa na fulani mteule wake na kwa akii...
Nimeona kule Citizen tv Wafanyakazi wa Kenya wakimpongeza Rais Samia kwa kuwajali Wafanyakazi na kuwaongezea mshahara kwa 35%
Wamedai kuwa wao waliomba nyongeza ya 6% tu lakini imeshindikana...
.
Breaking News: Tumepokea taarifa muda huu kuwa Father Dr. Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu nyumbani kwake na kujeruhiwa vibaya.
Hali yake si nzuri, na hii ni habari ambayo inatia hofu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia analeta raha sana kwa Taifa hili. Huyu Mama ni neema na nuru kwa hili Taifa. Mama Samia Ni Taa na Mwanga gizani. Yaani kwa hakika kama siyo katiba...
Inaonekana na inataka kuzoeleka kuwa wale waliokuwa vilaza na viazi darasani ndio wanapambana kujionesha kwenye mitandao kama ndio wenye akili na wenye mafanikio.
Nawaasa vijana wote mliomo humu...
Tumeona vipande vya Mahojiano kati ya mwandishi Millard Ayo na Mtoto wa aliyewahi kuwa kiongozi Mkuu nchini.
Jambo hili ni la kipekee na kihistoria nchini.
Humu jamvini na mtandaoni tuliwahi...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Naona kila kitu imekuwa ni Samia.
1. Madaktari wa Samia
2. Waalimu wa Samia
3. Mitungi ya gas ya Samia
4. Wanasheria wa Samia
5. Shule za Samia
6. Ongezea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.