PreGE2025 Uchaguzi unaharibiwa na siasa kandamizi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Nomadiq

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
8,565
Reaction score
22,899
Kwa mwenendo wa matukio yanayoendelea ni dhahiri kuwa uchaguzi utakaofanyika utagubikwa na upendeleo na unyang'anyi wa haki za wananchi.

Utaegemea upande fulani wenye nguvu, na sio kufuata misingi ya uchaguzi huru na wa haki.

Kura zitakuwa sawa na kuchagua: Kijani ni ipi kati ya hizi?

Kijani
Nyekundu
 
Mabadiliko yanahitajika sio tu kubadili jina la tume kuwa Tume huru ya....bali mabadiliko hasa ya kimfumo.
 
Kwa mwenendo wa matukio yanayoendelea ni dhahiri kuwa uchaguzi utakaofanyika utagubikwa na upendeleo na unyang'anyi wa haki za wananchi.

Utaegemea upande fulani wenye nguvu, na sio kufuata misingi ya uchaguzi huru na wa haki.

Kura zitakuwa sawa na kuchagua:
Kijani ni ipi kati ya hizi?
kijani
nyekundu
CCM ndiyo janga letu Tanzania
 
Kwa mwenendo wa matukio yanayoendelea ni dhahiri kuwa uchaguzi utakaofanyika utagubikwa na upendeleo na unyang'anyi wa haki za wananchi.

Utaegemea upande fulani wenye nguvu, na sio kufuata misingi ya uchaguzi huru na wa haki.

Kura zitakuwa sawa na kuchagua: Kijani ni ipi kati ya hizi?

Kijani
Nyekundu
Akili za CCM kuchezea akili na muda wa Watanzania.
 
Back
Top Bottom