Hizi haki anazolilia Prince Charles ingekuwa hapa Tanzania Chadema wangeongea sana
Haki za Wajukuu
Harry yuko mubashara BBC anahojiwa
Ahsanteni sana 😁🇹🇿
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika Kipindi Cha One on One Cha Wasafi TV amesema haya,
" Tanzania katika miaka 25 ijayo...
Mbowe akiwa kwenye mkutano wa waandishi uliohudhuriwa na wanachama wa CHADEMA asema wataanza na kampeni ya Samia Must Go ikiwa hakutakuwa na uwajibikaji kwenye matukio ya utekaji.
Mbowe pia...
Tarehe 14/2/2018 Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) walitoa Waraka uliokuwa maalumu kwa ajili ya Kwaresima na Sikukuu ya Pasaka. Waraka huo ulisainiwa na Maaskofu 35 toka Tanzania nzima ulikuwa na...
Hakika yajayo yanafurahisha. Kumeanza kupambazuka na giza linaanza kutoweka taratibu....
Sikiliza namna Padre Mchunguzi anavyomkosoa Rais Samua katika namna ya kumuona mtu asiye na ufahamu na...
Nilisema jana Taifa linaangamia kwa ujinga. Ni mwendo wa Uchawa, Mbona Jk, Mkapa na Mwinyi huu ujinhahaukuwepo? Au walikuwa washamba sana?
Hii ni singida.
Hii ni Kenya jikwaa kuu lina rangi za...
Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea...
Changamoto kubwa kuliko zote ya kazi ya siasa ni uvumilivu wa kukosolewa, wakati mwingine hata kuvunjiwa heshima. Ni wazi kuwa ushindani wa kisiasa haupo tu katika uwezo wa kuandaa na kuinadi...
◾PPPs to enable delivery of efficient, cost-effective public services
◾ Executive Director of Tanzania's PPP Centre, David Kafulila, wants to harness private sector technology and innovation
◾PPP...
Serikali zilizoko madarakani huwa hazikubali kuachia madaraka kiurahisi, kwa sababu nyingi sana, mojawapo ni kulinda yale mabaya waliyoyafanya wakiwa madarakani kama kuteka watu, kujeruhi, kuua...
Kuna msemo wa Kiswahili ambao Masikini wanautumia sana, unasemwa hivi, "ukiwa muongo usiwe msahaulifu"
Msemaji wa Polisi Nchini Tanzania anasema kwamba aliyekuwa anatafutwa "kutekwa" siyo Lusako...
Wakuu,
Safari hii wamebonyeza namba nyingine, kitaeleweka tu🌚.
Balozi wa Sweden, Ireland pamoja na EU wakemea shambulio la Kitima.
Wataka uchunguzi wa kina ufanyike na wahalifu kukamatwa na...
Nadhani CCM na viongozi wake kwanza watoke kwenye imani hiyo, inatakiwa iamini kwamba ni sawa na mzazi anaye zaa watoto wengine ni warefu na wengine wembaba na wanene wapo ila wote ni watoto wa...
Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa...
Awali ya yote naungana na wote waliopaza sauti za kulaani tukio hili la kikatili, kinyama na linalotishia uhuru na usalama wa raia wema wakiwemo watetezi wa haki za kibinadamu, utawala bora, uhuru...
Chadema chama ambacho ni kama kijiwe cha kupiga story kisichokuwa na strategy yeyote ile
Namna chadema wasichojua wanachopigania angalia hiki kisa
"kifo cha magufuli- baada ya tetesi za kuwepo...
Kama ingelikuwa ni kuweka wazi hisia za watu, if am asked to put clear all the sentiments ambazo zipo katika vinywa vya watu, yafuatayo ningeweza pia kuyasema, la kwanza, Mnakumbuka Rais wa sasa...
Nadhani sasa kupitia changamoto iliyomkuta Padre Kitima nimepata majawabu ya maswali yote mawili yaani langu na la mchungaji Erasto
Ila shehe Hussein Yahya tukiwa msibani kwa shehe wa msikiti wa...
Yaani bro, let’s keep it 100—sio kwamba hatujui kinachoendelea kwenye hii nchi, au hatujali siasa… we know everything, tupo macho, but truth be told hatuna muda na hizo stress. Life yenyewe ni...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewataka viongozi wa kisiasa hususan wabunge kutojisikia vibaya pindi watu wengine watakapoingia kwenye nafasi zao, kwani ni jambo la kawaida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.