Rais Samia Suluhu amesema Mwaka huu ni mwaka wa jambo kubwa, nchi yetu inakwenda kwenye uchagazi mkuu niwaombe mtumie kalamu zenu kuhamasisha umoja, amani na mshikamano nchini. Ameyasema hayo leo...
Raisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile...
Urafiki wa Mkapa na Magufuli ulikuwa na siri nyingi. Kubwa kuliko ni kuuzwa kwa nyumba za serikali zenye thamani ya mabilioni ya shilingi kwa pesa kiduchu
Mchakato huu ukifanyika JPM na JK...
Sijawasikia wanasema wataenda mahakamani kesho.
Na John Heche amekwenda mbali kabisa na mahakama inavyowezekana,kwa sababu amekwenda Mara.
Na Tundu Lissu anasema anataka kupelekwa mahakamani...
Hii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa.
Tuliyoyaona katika kipindi hiki cha...
Ndugu Watanzania, nianze kwa kuwasalimia kwa salamu ya chama changu pendwa Chama cha Mapinduzi (CCM).
Kidumu Chama cha Mapinduzi ..........................!
Awali ya yote nitaomba radhi kwa kila...
Waziri wa kilimo Hussein Bashe kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X.
====
Salaam Ndugu zangu
Watanzania,Serikali imepokea taarifa kuwa Serikali ya Malawi imezuia kuingia kwa mazao ya kilimo...
Na. M. M. Mwanakijiji
Jeshi la polisi lina matatizo au mapungufu makubwa manne; mapungufu haya yanasababisha au yamekuwa sababu kuu ya tatizo moja kubwa ambalo bado hatujalipatia ufumbuzi wa...
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amewataja watu wanaodai haki kuacha kuwa sababu ya ukosefu wa haki kwa wengine.
Dkt. Ndumbaro alisema hayo mjini Morogoro wakati akifungua mafunzo...
Inashangaza sana kuona jinsi taifa letu linavyozidi kubadilika na kuwa kama vichekesho vya huzuni (tragicomedy), hasa katika kipindi hiki ambapo tunajivunia kuwa na wasomi wengi kuliko wakati...
Uchawa umeharibu professional za watu miaka ya nyuma enzi za mwinyi wizara yaambo ya ndani kupitia jeshi la magereza waliwahi kuzinguana na WAANDISHI WA HABARI.
Walichokifanya WAANDISHI wale...
Wakati baba wa taifa akiwapo alijulikana kutomfumbia macho yeyote aliyethubutu kuichanganya nchi na shamba lake, yeye kama rais mstaafu. Uzi huu unahusika:
Mwalimu Nyerere: Nchi inaendeshwa kwa...
1. Huyu askari most likely hakuwa na ugomvi binafsi na Mdude, , alikuwa anafanya aliyotumwa na wakubwa. Sema ilibidi ajiongeze "asimuue" hata kama alipata amri hiyo!
2. Hizi ni drama tu hakuna...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kufanya vizuri zaidi ya baadhi ya Viongozi wa kiume...
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi amewataka Viongozi wa vyama vya kisiasa kutumia mafunzo ambayo Ofisi yake imewafunda kwa ajili ya kujenga mtazamo mpya na chanya, ambapo muktadha...
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, akipokewa na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania jijini Stockholm alipoingia ofisini kwa mara ya kwanza leo Mei 5, 2025. Mbali ya Sweden...
Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) tunalaani vikali utamaduni mbaya ulioanza kujengeka nchini kwetu miaka ya hivi karibuni ambapo vyombo vya umma vya kusimnamia haki na na kulinda usalama wa raia...
Kuna watu wasio na hatia walikwamatwa mahakamani walipoenda kumfariji kiongozi wao lissu na kupigwa kisha kutupwa msituni,
Sasa CHADEMA na Watanzania walihoji kuhusu hili suala linalo kiuka haki...
CCM inajitahidi kukatisha tamaa watanzania (discourage) juu ya matumizi ya mitandao kama njia sahihi na muhimu ya kuitoa CCM madarakani.
CCM wana msemo wao wa "watu wa mitandaoni" kuelezea au...