WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Bajeti ya mwaka 2025/2026 kipaumbele kikubwa kitakuwa ni utekelezaji wa miradi mikubwa kwa ushirikiano na Sekta...
Kwanza nianze kwa kusema kila mtu ana uhuru wa kupandisha mada yoyote humu na nasikitika wafuasi wa chadema kujiona wao ni bora, wenye elimu zaidi, wenye exposure zaidi ya mtu anaepingana nao. Hii...
Mimi nijuavyo vyombo vya dola kama polisi, jeshi, na idara za usalama vinapaswa kuwa huru na kutenda kazi kwa misingi ya sheria bila upendeleo. Kujihusisha na siasa kunaweza kusababisha ubaguzi na...
Haya ni aliyoyasema Padre Ngowi:
https://m.youtube.com/watch?v=ciDVwS2EKj0&pp=ygUtUGFkcmUgbmdvd2kgaGF0YSBuaWtpZmEgbGVvIHNpbmEgY2hhIGt1cG90ZXph
"Kwamba umoja wetu ndiyo iliyo ngao yetu na tujue...
Naona vikundi vinaendelea kila kukicha, vijana wanakusanywa na kutumika sana wakati huu na watawala. Uchaguzi ukiisha wanarudi kwa ground tena kulalamika hali ngumu, hakuna nk.
===
Mtandao wa...
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema Daraja la JP MAGUFULI (Kigongo-Busisi), linalounganisha mkoa wa Mwanza na Geita, linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu.Akikagua...
Ilikuwa vichekesho sana yaaani. Yaani kwanza kwa kuhofia wananzengo kutojaa uwanjani basi ukatumika uwanja mdogo na ukaachwa ule mkubwa. Ili kuhakikisha wananzengo wanatamani kuingia uwanja huo...
Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya...
South Sudan, ripoti ikionyesha uchumi wao utakuwa kwa 27.2% kufikia 2025, japo katika 2024 inflation yao ni 120%
Libya, wikitarajiwa uchumi kukua kwa 13.7%, inflation iko 2.4%
Senegal, uchumi...
===
Chuo Cha Usimamizi wa Fedha na Biashara CBE nchi Tanzania kimemtunuku Mhe David Zacharia Kafulila ngao ya heshima kwa uchapakazi wake uliotukuka kwa Taifa lake la Tanzania.
Mkuu wa chuo...
Kuna msemo wa wahenga wa Zamani kuwa kuna kundi la nyani lilishangilia baada ya kusikia mkulima wa mahindi amekufa wakaambiana sasa watakula mahindi kwa uhuru bila kurushiwa mawe. Hawakujua kuwa...
Habari wadau.
Interview ya mtoto wa magufuli na millard ayo, imeeleza mengi.
Binti wa Magufuli amesema baba yao akiwa waziri toka wanazaliwa bado aligoma kabisa watoto wake wote kwenda...
Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025.
https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0
Jaji Warioba
- 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea...
Kwamba hupendezwi na utendaji kazi wa doge Elon Musk basi unasusa kununua bidhaa zake
Awali nilidhani Washamba Washamba ni hawa akina Lucas Mwashambwa tu kumbe huko Ulaya ndio wamejazana kwa...
Mbunge wa Jimbo la Manonga Mkoani Tabora Seif Khamis Gulamali ameitaka Serikali kutosita kuchukua mikopo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini Tanzania, akieleza kuwa deni la...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, Ally Hapi, ameutaka Mtandao wa vijana wa Kesho Yetu, Uzalendo Wetu na Utaifa (TK Movement), kutokatishwa tamaa na baadhi ya watu wasiopenda...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema kuwa baada ya uchaguzi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitageuka kuwa...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud, amesema suala la kutafuta amani ya nchi linahitaji dhamira ya kweli, inayojali misingi ya utu, haki na uadilifu, wala si jambo la msimu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.