Harakati za CHADEMA kwenda mahakamani zinaendelea?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,013
Reaction score
6,768
Sijawasikia wanasema wataenda mahakamani kesho.

Na John Heche amekwenda mbali kabisa na mahakama inavyowezekana,kwa sababu amekwenda Mara.
Na Tundu Lissu anasema anataka kupelekwa mahakamani leo.

Lakini yapo mafanikio yoyote Chadema imepata kutokana na haya maandamano au Chadema inabidi ikubali Uchaguzi vyovyote utakavyokuwa?

Hata kama itakuwepo kesi leo haijulikani labda ndio maana viongozi wa Chadema hawajaongea kuhusu programu yao ya leo.

But what is the truth?

Kuna kitu chochote kinahitaji kubadilishwa katika Uchaguzi mwaka huu?

Kubadilishwa kwa kutumia nguvu?

Kama itakuwepo election as always, election as usual,kama itakuwepo peaceful election ,hiyo itakuwa ushahidi kwamba Nchi ni politically mature : kwamba voices of reason are louder than the voices which want to bring chaos.

Sasa unayo precedent in history.

Martin Luther King aliuawa na Jeshi la Marekani kwa sababu walikuwa wana hofu ikitokea rioting Polisi itashindwa kuzuia na askari itabidi warudishwe kutoka Vietnam.

Na hapa Tundu Lissu alikuwa anafanya agitation labda ilikuwa inaleta wasiwasi huo huo.
Aluta Continua. Au jambo gani linatokea Leo?
 
Lala mzee, unaogopa kupitiliza!?
 
Mbona hata YANGA wamegoma?

No reforms hatuchezi ?

Watamuua nani yanga?
 
Hamna kitu mwana kura zishapigwa october ni sherehe tu.
Si kwetu tunaita kotoba festival kule Tokyo
 
Kama itakuwepo election as always, election as usual,kama itakuwepo peaceful election ,hiyo itakuwa ushahidi kwamba Nchi ni politically mature : kwamba voices of reason are louder than the voices which want to bring chaos.
Huyatendei haki hayo maneno. nadhani yamekuingia tu akilini, na bila ya kuyatafakari maana yake ni nini, ukaona uyamwage tu hapo.
Martin Luther King aliuawa na Jeshi la Marekani kwa sababu walikuwa wana hofu ikitokea rioting Polisi itashindwa kuzuia na askari itabidi warudishwe kutoka Vietnam.
Kila anayetaka kuota sababu ya jambo kutokea hazuiiwi na yeyote
 
Back
Top Bottom