siasa za kimagharibi ni wazi bado haziwezi kufanya kazi hasa anapotokea kiongozi mwenye tamaa za madaraka huku africa.
Watu wenye tamaa za madaraka wanatumia kivuri cha demokrasia kufanya...
Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira amemkosoa vikali mwanasheria na mwanasiasa wa Kenya, Martha Karua, kwa kile alichokitaja kuwa ni kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, hususan kesi...
Spika mstaafu wa Bunge la JMT Mzee Msekwa amesema tofauti na ilivyo Sasa mwalimu Nyerere msafara wake ulikuwa na Magari 3 tu na hakupenda mambo ya ving'ora
Lilikuwepo gari la mbele, Katikati gari...
Jarida maarufu la Uchumi na Biashara Dunia la Bloomberg limesema Licha ya Tanzania Kuwa mojawapo ya Nchi Zenye Uchumi Unaokua Kwa Kasi na imara linashindwa kuelewa ni Kwa nini thamani ya Shilingi...
Wanabodi
Kuna hali tete fulani ya amani na usalama nchini, mihimili 3 ya Serikali, Bunge na Mahakama, hawawezi kuzungumzia, sisi Media ambao ni mhimili wa 4 usio rasmi, tunuweza kuzungumzia jambo...
China ni taifa linalokuwa kwa kasi kiuchumi, na ni mshirika mkuu wa serikali ya Tanzania, wakati China wakikua kiteknolojia Tanzania tumejifunza na kujiuvunia nini kutoka kwa marafiki wetu wa muda...
RPC Muliro kachonganisha kanisa katoriki na serkali ya CCM kuliko hata aliyemshambulia Fr. Kitima.
Kwanza, kama kamanda wa Dar tukio hili kutokea katika mkoa wake ameshindwa kusimamia ulinzi wa...
Kila mtu anajua kuwa viongozi wa dini ni watanzania na bado ni wapiga kura, kwahiyo ni haki yao kuhamasisha uchaguzi wa haki.
Kila mmoja anajua upinzani ni chama halali cha siasa Tanzania...
Kwa jinsi siasa za sasa zilivyo kuna uwezakano mkubwa kuwa mtoto wa raisi anaweza kusimama kama raisi na kufanya maamuzi na ku-control kila kitu kama yeye ndie raisi na msijue na hata asichukuliwe...
Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June...
Kutoka Singida Mmoja wa Wabunge wasio na chama waliotimuliwa Chadema kwa Tuhuma za Usaliti, Jessica Kishoa amefumwa kwenye Mkutano wa hadhara wa CCM, uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeingia ndani ya mochwari (Friji la kuhifadhia maiti za binadamu) ili kujaribu kuutambua mwili wa Mwanachama wao aliyesemekana kutekwa na kupigwa na Polisi wa...
Rangi za bendera yetu ya nchi yetu nzuri Tanzania ni Bluu, Njano, kijani na nyeusi. Rangi hizo hazipo hapo kwa bahati mbaya.
Hata pamoja na mapinduzi ya Zanzibar kufanyika, bado rangi nyekundu...
Mungu fundi sana!
Polisi wakiendelea kutumiwa vibaya na CCM ambao wanawanyonya na kuwafanya waishi maisha magumu leo wamezuia Mkutano wa Chadema uliopaswa kufanyika pale Kariakoo
Angalia picha...
https://youtu.be/H_nTberB3go?si=ycb2F5DMUslS3AqC
Hao kwenye video hiyo chini👇👇 ni watu wa Mbeya (ambao ni ndugu na wanachama wa CHADEMA). Wamefanya Press Conference na wanatumia lugha ya "kuomba...
Shilingi Bilioni 102 ziliidhinishwa 2023 kwajili ya ujenzi mkubwa wa chuo cha kilimo cha Mwalimu Nyerere Butiama.
Awali chuo hicho kilianziswa 2010 lakini hakikuwahi kudahili wanafunzi, ndipo...
Hakunaga marefu yasiyo na ncha but surely ni kitu ambacho lazima kitatokea.
Nahisi CCM kwa sasa kutoka bado lakini dalili ya mvua ni mawingu, kuna mawingu yameanza kutanda japo mbua bado sana...
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tangu mwaka 2019 kumekuwa na mashaka makubwa kwenye uchaguzi, na kwamba chama hicho kimeamua kushiriki mwaka huu ili kupambana kulinda kura...
Jamii ya wananchi wa mkoa wa Lindi na MTWARA ni jamii nyingine. Huko Arusha mnasema kuna watu wamepinda , yes wamepinda lakini ni kwaajili ya mabange tu na usela mavi.
Watu wa kusini ni next...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.