Moshi mweusi ishara Papa bado hajapatikana

Moshi mweusi ishara Papa bado hajapatikana

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,600
Papa mpya amshindwa kupatikana kwenye raundi ya kwanza na hivyo umetoka moshi mweusi

Tuongeze maombi hakuna kulala unono

Ahsanteni sana

BBC
 
Rangi nyeusi mbona inatumika kama kiashiria cha kitu kibaya katika kila jambo?
 
Sidhani kama ni kwa wabaguzi tu, maana hata sisi waafrika ambao wengi wetu ni weusi tukiona paka mweusi tunasema ni mkosi.
Kwa wabaguzi, kila cheusi ni kibaya. Halafu tunaita jinai hii dini au imani😳😳😳😳😳😳
 
Back
Top Bottom