Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Jimbo la Tunduma, David Silinde, amewapa ujumbe mzito wanaotamani kugombea nafasi yake katika Uchaguzi Mkuu ujao, akisisitiza kuwa maendeleo makubwa yaliyofanyika chini ya uongozi wake...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
UJENZI WA MRADI MKUBWA WA SHULE MPYA YA MSINGI KABINDI B ILIYOPO KATA YA KABINDI - BIHARAMULO. Shule hii ni mpya ,haikuwepo kabla hapa kuna juhudi za mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Akihutubia Kwenye Uwanja wa Samora mkoani Iringa mwaka 1987 mwalimu Nyerere alisema wakati anamkabidhi madaraka alhaj Ali Hassan Mwinyi alipata wakati mgumu hasa alipomuona Mwinyi anapanda Gari...
2 Reactions
1 Replies
247 Views
Wanaccm wamekuwa wakijisifu sana eti ni chama kinakubalika na kinashinda uchaguzi kwa kishindo kwa sababu ya sera nzuri na kukubalika kwa wananchi kumbe ni waongo. Kwa kauli alizotoa nape hivi...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Katika kitabu cha Marko 4:35-41, Biblia inaelezea tukio la Yesu kutuliza dhoruba iliyotishia kusambaratisha mtumbwi waliokuwa wakisafiria. Biblia inasema siku hiyo, ilipokaribia jioni, aliwaambia...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
ANAANDIKA Mh Heche makamu mwenyekiti CHADEMA TAIFA Huyu kijana Kenani Kehongosi ni Sabaya mwingine.. Huyu ni kijana amedhuru watu wengi sana. Ameruhusu madaraka yamvae na kwasababu hana uwezo...
16 Reactions
68 Replies
4K Views
Maneno haya si ya kubeza.
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Ni ujaji wa kuhama kutoka chama cha CHADEMA na kuwaachia wanachozama nacho, kinachosubiriwa ni mikutano ya uchaguzi hapo ndipo zamu ya wanachama wa kawaida kubwaga manyanga na kuhamia chama au...
4 Reactions
15 Replies
899 Views
RAIS WA FINLAND ATEMBELEA MRADI KUWEZESHA WANAWAKE MACHINGA COMPLEX Rais wa Jamhuri ya Finland, Mheshimiwa Alexander Stubb, ametembelea mradi maalum wa kuwawezesha wanawake wafanyabiashara wadogo...
1 Reactions
5 Replies
443 Views
1. Kama mnavyojua Sudani Kusini imepata Uhuru wake 2013. 2. Salva Kiir atakumbukwa kwa kuipitisha nchi hiyo kwenye mikwamo mingi. 3. Alichoka hadi akachoka tena. Ila kifo ndo mwamuzi. **Juba...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwenyekiti BAZECHA - James Haule alipoulizwa kuhusu busara itumike kuponya majeraha CHADEMA, Haule wamesema; BAZECHA ndio wenye wajibu wa kuponya majeraha chamani, nataka niwathibitishie...
11 Reactions
20 Replies
1K Views
Hii serikali yetu ya ajabu sana, kila mwaka mwezi wa 5 na wa 6 Mtandao hua unasumbua sana na haiwasumbui viongozi wetu kurekebisha hili, hakuna kitu kinaingia wala kutoka na bado wanatoka kwenda...
4 Reactions
6 Replies
416 Views
Elizabeth Mambosho Mjumbe wa mkutano Mkuu CHADEMA, aliyekuwa akimuunga mkono Freeman Mbowe katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA amjibu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Benson Kigaila adai...
17 Reactions
26 Replies
2K Views
Rais Samia na wapambe wake wanashangazwa na hawaelewi kwanini kwanini copy na paste mambo ya Magufuli hawaendi kama wakati wa Hayati Magu 1. Watanzania wamesha elimika zaidi 2. Kushidwa kuzuia...
2 Reactions
2 Replies
516 Views
Msikilize ANASEMA ATAUA MTU YEYE NI USALAMA WA TAIFA. ANAAPA KUUA YEYOTE ATAKAYEJITOKEZA KUGOMBEA KWALE NA JIMBO HALITAGAWANYWA https://www.youtube.com/watch?v=tklwP9kcx_M
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Siwakubali kabisa G55 lakini nawashukuru sana kwa ushuhuda wao kwamba Chadema LILIKUWA ni duka la Viongozi na familia zao G 55 Mlale unono 🐼
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Kigezo cha elimu ya mbunge umekuwa ni mjadala ambao umekuwa ukijirudia mara kwa mara Hamisi Taletale Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ameeleza unamtazama mtu kama Msukumua IQ aliyonayo...
1 Reactions
2 Replies
375 Views
Watanzania wengi pale walipomuuona anapambana na utendaji mbovu wa sekta zote...walimuona kama malaika... Hawakutaka kusikia tena vyama vya upinzani....Sijui ni nani alimuingiza kwenye Huu ujinga...
2 Reactions
4 Replies
372 Views
Mabasi ya kutoka Mbeya hasa yanayosafiri Usiku hayafuati ratiba ya safari, kwa mfano kuna siku nilipanda basi kutoka Mbeya kwenda Morogoro walisema linaondoka Saa 12:00 Jioni ila tuliondoka Saa...
2 Reactions
5 Replies
702 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji Kodi, hatua itakayosaidia kufungua...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom