GePG mtandao wa serikali unasumbua malipo yakwama

GePG mtandao wa serikali unasumbua malipo yakwama

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,138
Reaction score
2,598
Hii serikali yetu ya ajabu sana, kila mwaka mwezi wa 5 na wa 6 Mtandao hua unasumbua sana na haiwasumbui viongozi wetu kurekebisha hili, hakuna kitu kinaingia wala kutoka na bado wanatoka kwenda kuomba omba misaada hata hizi walizosaidiwa zilizo kwenye mzunguko wanashindwa kufanya ziendelee kuzunguka, sisi TUMELAANIWA LAANA KALI SANA.

Kitu tunaweza ni KUTEKANA KUUANA KUTESANA NA UDAKU MPAKA RAIS ANAPIGA UDAKU
 
Hii serikali yetu ya ajabu sana , kila mwaka mwezi wa 5 na wa 6 Mtandao hua unasumbua sana na haiwasumbui viongozi wetu kurekebisha hili, hakuna kitu kinaingia wala kutoka na bado wanatoka kwenda kuomba omba misaada hata hizi walizosaidiwa zilizo kwenye mzunguko wanashindwa kufanya ziendelee kuzunguka , sisi TUMELAANIWA LAANA KALI SANA. Kitu tunaweza ni KUTEKANA KUUANA KUTESANA NA UDAKU MPAKA RAIS ANAPIGA UDAKU
true
 
Hii serikali yetu ya ajabu sana, kila mwaka mwezi wa 5 na wa 6 Mtandao hua unasumbua sana na haiwasumbui viongozi wetu kurekebisha hili, hakuna kitu kinaingia wala kutoka na bado wanatoka kwenda kuomba omba misaada hata hizi walizosaidiwa zilizo kwenye mzunguko wanashindwa kufanya ziendelee kuzunguka, sisi TUMELAANIWA LAANA KALI SANA.

Kitu tunaweza ni KUTEKANA KUUANA KUTESANA NA UDAKU MPAKA RAIS ANAPIGA UDAKU
Hiyo mifumo nani kaiunda
 
Wiki hii wanehack mtandao wa malipo Kwa SGR.
Unafanya process za malipo lkn ikishafika kwenye control number inagoma na abiria wengi Sana wamepanda mabus kuja na kwenda Dodoma, sometimes unajiuliza huyu mama Akili zipo kweli kichwani?
 
Back
Top Bottom