Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,099
- 7,132
Kigezo cha elimu ya mbunge umekuwa ni mjadala ambao umekuwa ukijirudia mara kwa mara Hamisi Taletale Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ameeleza unamtazama mtu kama Msukumua IQ aliyonayo akuipatia darasani mawazo na mchango anaochanga kuishauri serikali ambapo kuna watu wa PhD lakini awawezi kuifikia ile akili. Nitazame mimi hata vitu nilivyovifanya sijavipatia darasani
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025