Mtu anaeweza kuuwa na kusingizia watu kesi kwasababu ya tamaa za madaraka hapaswi kuaminiwa wala kuungwa mkono hana akili kabisa huyo.
Lazima tuunge mkono kwa wapigania haki na uhuru ndio jambo...
Wahenga walisema, ogopa sana mwanamke aliyeamua kumwacha mumewe, halafu kila siku anamsema huyo aliyekuwa mumewe. Na tena walisema, ogopa sana, na ukimbie kabisa, kama una mahusiano na mke wa mtu...
Moja ya mwananchi wa Somelo, Mkoa wa Ilala amembana Diwani kwa maswali magumu akitaka kufahamu yapi ameyafanya diwani huyo tangu alipoingia madarakani. Wakati muda huo hakuna kilichofanyika hadi...
Wananchi wa Kata ya Kahe Mashariki, wakiongozwa na wazee wa kata hiyo, wamempongeza Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi cha mwaka...
Katika kipindi ambacho baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamekuwa wakitangaza kuhama na kujiunga na vyama vingine, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa...
Kuiba kura halali, Polisi kuuwa raia halali na utekaji halali lakini mtu kuhamasisha haki na mageuzi ya kiuchaguzi ni ugaidi na muhaini.
Kila mmoja anajua kuwa Lissu ni shujaa hana hatia yoyote...
WAFUASI na Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kinondoni wamemtaka Freeman Mbowe, Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho, kutoka hadharani kueleza kama anaubariki upande wa chama...
Polisi na Msajili wanashindana sasa kwenye kiki-uchawa kupitia Chadema. Imefika wakati viongozi wanaamka asubuhi na kufikiria wafanye nini kwa Chadema ili matukio yao yaongelewe kwenye vyombo vya...
Wadau wengi hapa Kyela Mkoani Mbeya, Wengi wao wakiwa Watumishi wa Umma, wakiwemo Walimu wamependekeza Tarehe 19 May iwe siku ya Mapumziko ili kuwezesha Wananchi wengi kuhudhuria kesi ya Uhaini...
Ulipoanzishwa mfumo wa vyama vingi ulianzishwa kwa kutaka kupata vyama mbadala vyenye sera tofauti mbali na Chama tawala kiamini siasa ya ujamaa
Na Chama kilichojitambulisha wazi kilipoanzishwa...
Musoma wa Unga: "No Reforms, No Elections" - Msimamo wa Nchi
Hali ya kisiasa Tanzania inazidi kuwa ya mvutano huku chama cha upinzani cha CHADEMA, hasa Musoma, Mara, kikichukua msimamo thabiti wa...
MKIAMBIWA CHADEMA IMEKUFA NDIO HUKU SASA
Ukweli hauhitaji madoido. Mikutano haina watu ya CHADEMA..! Tujitathmini, si kudanganya hadhira kwa picha za 2015 wakati wa Mzee Lowasa, R.I.P wahuni...
Waziri wa Madini, tunapozungumzia suala la leseni za utafiti wa madini (PL) katika Mkoa wa Mbeya, hususan Wilaya ya Chunya, kuna mambo kadhaa ya kuzingatia.
Kwanza, ni muhimu kufahamu kwamba...
Japo CCM wanajiridhisha kuwa wanamuenzi marehemu rais John Magufuli, kwa kumdhihaki kwa kauli mbiu yao ya kazi iendelee wakati hakuna kazi yoyote bali upigaji na uvivu, ukweli ni kwamba...
TANZANIA NI NCHI YA DEMOKRASIA.
Naomba tuweke hoja ya msingi juu ya maswali yafuatayo.
1. Kwanini agenda ya reforms kabla ya uchaguzi mwaka 2025 inapigwa vita mpka kwa kutesa, kuumiza na kumwaga...
Serikali imesema kitendo cha kushirikisha Sekta Binafsi katika uendeshaji wa shughuli za bandari kwa kuingia ubia na Kampuni za DP World na TEAGTL katika kuendeleza na kuendesha baadhi ya maeneo...
Uongozi uliopita uliipatia fursa CCM kutumia propaganda zake chafu dhidi ya Chadema kwa kuiita mara chagadema, mara saccos na mara chama cha manyumbu!
Kwa namna hiyo chama cha majizi (CCM)...
Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)
UKIKUBALI UMEKWISHA; UKIKATAA UMEKWISHA.
Jamani tuache utani. Kuna kundi la watu. Ni wanadamu lakini wao hujiiita “malaika wa kibinadamu”. Wakiamua...
Wakuu,
Mbunge na Waziri wa katiba na Sheria Damas Ndumbaro akiwa Songea ukumbi wa bombambili, alitoa 'posho' ya Tsh. 20,000/=kwa Kila mjumbe.
Ambapo wajumbe hao ni wapiga kura za maoni ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.