Huyu bidada mwanaccm akilalamika uwepo wa Mashoga ndani ya Chama. Kuwa wamezidi kipimo kwa sasa ni wengi. Na haumi umi maneno. Anaongea kwa kujiamini kabisa suala hili ambalo kwa ccm ni la kawaida...
Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM), Anthony Mavunde ametangaza katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 atagombea tena ubunge katika Jimbo jipya la Mtumba, akianisha sababu tatu za kuiacha Dodoma Mjini...
Hawa hapa ni Wakazi wa Kijiji Kimoja tu, kijiji cha Malwilo, Jimbo la Kisesa, wakazi hao wote wamekubaliana na hoja za Chadema, ambapo taarifa hizi zilipomfikia Mbunge wa Jimbo anayeitwa Luhaga...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Philip Mpango akiwa katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 12 wa Kitaaluma wa Waandishi Waendesha Ofisi Tanzania amewakumbusha Wanachama wa TAPSEA kuwa huu mwaka ni wa...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo, Mei 16, 2025, jijini Dodoma, ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa mwaka wa fedha 2025/2026 inawasilishwa na...
Akionekana kutofurahia baadhi ya kauli, picha na maandiko mbalimbali mitandaoni, kwenye kile alichokiita kama Makelele ya mwenye siasa na yenye kuwahusu wanawake wanasiasa, Mwanasiasa Zitto...
Wananchi Tuliomba tume huru wametupa jina tu la tume, tulihamasisha mabadiliko ya haki wakaa sema kwamba ni vurugu, wengine wakapewa kesi za ugaidi na uhaini ni wazi hawapo tayari kwa uchaguzi wa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uchaguzi hauwezi kusogezwa mbele kwani wamejipanga kushiriki uchaguzi na hawawezi kuwa sehemu ya kuvunja katiba, hivyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amesema kuwa Chama hicho kinaamini katika kuonesha demokrasia kwa vitendo hivyo hakuna mtu yeyote ambaye ana hatimiliki ya kugombea ndani ya Chama...
1. Ndugu Mgombea, pambana (kwa fedha na kijadi-UCHAWI) upitishwe kwenye Chama.
2. Mengine ni kukamilisha ratiba tu.
3. Kura za Wazalendo aka Wanyonge ni kiini macho tu. Asanteni.
Tutalazimisha mabadiliko yafanyike kwani huu uchaguzi sio wa samia wala wa nani, uchaguzi ni wa watanzania wote lazima tuongee lugha moja ndio uchaguzi ufanyike kwa haki hakuna haki kama mtu mmoja...
Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Bwana Charles Nduhi Lyaganda amejiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM akiambatana na Wanachama wengine 83 wa Chama...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Njombe, Dkt. Scholastika Kevela, amewataka wanawake kote mkoani humo kujiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao, akisisitiza kuwa chini ya...
kama akifanikiwa kweli kutawala mpaka 2o3o, itathibitisha mambo mengi kwamba yote yaliofanyika yalikutwa tayari yamefanyika, hivyo mpa 2o3o haitajengwa hata km 5 za sgr kuanzia dodoma kuelekea...
Watanzania tujitafakari sana dunia inabadilika kwa kasi mno
Kama umemuona Trump alivyoisujudia Qatar utagundua mambo yameshabadilika
Siasa za akina Shonza zitaturudisha nyuma zama za Ujima
Hapo...
Wakuu!
Mwananchi mmoja kutoka mji mdogo wa Lamadi, wilayani Busega, huko Simiyu amevuta hisia kuhusu tofauti kubwa ya thamani inayowekwa kati ya maisha ya binadamu na wanyamapori, hususan Tembo...
Dini zetu hizi mbili zina bahati mbaya sana Afrika, ujio wake Afrika uliambatana na watu waliotenda mabaya na wanaendelea kuyatenda mabaya Afrika mpaka leo. Bahati mbaya sana watu wa dini hizi...
Wakili Dickson Matata, mmoja wa mawakili wa utetezi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema kuwa baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa uamuzi wa kesi ya mteja wao kusikilizwa...
Tanzania na Finland kuimarisha Ushirikiano katika Usimamizi wa Amani na Usuluhishi wa migogoro
Rais wa Jamhuri ya Finland, Mhe. Alexander Stubb amesema Serikali ya Finland itaendelea kuimarisha...
Njaa hainaga simile ukishaiendekeza. Lile kundi la G55 baada ya kugundua hakuna namna mpango wa 'nusu mkate' (kupewa bakishishi ya madaraka kupitia Chadema kwa fadhila za CCM) kuweza kutekelezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.