Tusaidiane Kutafakari wakati huu ninapoiendea Sabato ya Bwana
Nini Labda kingetokea ukitilia maanani Chadema siyo watu wa kufuatilia na kuheshimu Katiba yao
Ahsanteni sana 😁🇹🇿
Ndugu zangu Watanzania,
Duniani Muogope Sana Mwenyezi Mungu pamoja na Teknolojia.
Hali imekuwa tete kwa CHADEMA,hali imekuwa mbaya,hali imekuwa ya kukatisha tamaa ,hali imekuwa siyo hali,hali...
"Ndugu wananchi mwaka wa sitini na moja wa muungano wetu umeangukia kwenye mwaka tunaokabiliwa na jambo kubwa la kidemokrasia nchini. Tutafanya uchaguzi wa kuwachagua Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Picha na Daily News.
Rais wa zamani wa Tanzania Jakaya Kikwete ambae ni mjumbe maalum wa raisi Samia, siku ya tarehe 17 April alifanya ziara ya kikazi nchini Burkina Faso.
Akiwa mjini Ougadougou...
Hii No Reform No Election iliasisiwa na Mbowe Enzi za Mjema
Wengi wanadhani imeanza baada ya Tundu Lisu kushinda Uchaguzi
Siku 50 za Makonda pale Uenezi zilikuwa kama Siku 100 za Trump wa USA...
(1)Naona vurugu kila mahara hapa Tanzania,huku watu wakipambana na polisi
(2)Naona Vurugu kubwa kwenye miji ya Mbeya,Mwanza,Iringa Moshi,Mara na mingineyo
(3)Naona wale Viongozi waliokuwa wa...
Kuna vilaza wanadhani kuongea vingereza vingi kwenye mikutano na wananchi au kuwa na mialiko ya makongamano ulaya ndio sifa ya kuingoza nchi .
Acheni kujidanganya...tupo wababe wa vingereza na...
MAUZO YA BIDHAA ZA TANZANIA SOKO LA ULAYA YAMEONGEZEKA
Kwa Mwaka 2024 thamani ya mauzo ya bidhaa katika soko la Jumuiya ya Umoja wa Ulaya ilikuwa dola za Marekani millioni 686.3 ikiwa ni ongezeko...
Salaam!
Hii nimeipata kwenye hotuba ya CHADEMA mkoani Simiyu kwenye operation ya NRNE kwamba Waziri wa madini atokea Dododomma kusiko na madini yoyote zaidi ya kilimo Cha karanga.
Haya...
*WASIFU WA MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KWELA -RUKWA 2020*
Jina Deus Clement Sangu
mzaliwa wa kijiji cha Laela wilaya ya Sumbawanga (V) mkoa wa Rukwa.
*SIFA ZA KITAALUMA*
1. Shahada ya...
Duru zimethibitisha kua , Umoja wa Ulaya umechukizwa na Matendo ya kihalifu yanayoendelea Nchini huku wakiwa ni wahisani na wafadhili Wakubwa wa miradi ya Maendeleo Nchini Tanzania .
Taarifa za...
Kwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani apambane na Heche ilikuwa kumuonea
Umri wake wa karibu karne inasemekana amekuwa kama gari la mkaa,leoporini krsho garage,na...
Kabla ya yote Baba Askofu Mwamakula akishirikiana na Mashehe wa Shinyanga(Siyo BAKWATA) akiomba Dua Kabambe ili kuondoa nuksi
Baada ya Kumtanguliza Mungu, Muumba wa Mbingu na Ardhi, kazi ya...
Wale wataalam wa Finance pale IFM hebu nifanyieni hiyo hesabu
Nikiwa hapo Prof Aurora kutoka India aliwahi kutupa exchange rate ya Dinari ya wakati huo na US Dollar sema nimesahau
Lakini kama...
Hii ndio habari mpya kwa sasa na kwamba lengo la Kumkamata Golugwa lilikuwa ni kuzuia Hotuba kabambe iliyoandaliwa na Chadema isisomwe kwenye Mkutano huo.
Bali hotuba hiyo sasa itasomwa na Mtu...
Raisi wa Finland kaja kupumzika tu ! Kwa hali ya sasa anashidwa hata kutoa misaada maana bunge lake hataweza kukubali kwa hali mbaya ya kisasa tulio nayo kwa sasa.
Hivyo kwasababu alikuwa balozi...
Huwa inasemwa CHADEMA ilisaliti msimamo wake ilipomchukua Lowassa na kmfanya mgombea urais mwaka 2015 kama hii ni kweli basi kuondoka kwa kundi la Mbowe CHADEMA inaweza kuwa sawa na utakaso kwa...
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali wa chama hicho kuandaa uchaguzi na kufanya uteuzi ili kuziba nafasi za viongozi waliojiondoa kwenye chama hicho, maarufu...
Wakuu,
Haya ndio yanayohuma huko kuwa G55 mpango wao ni kuhamia CHAUMA kwa madai ya kuwa waahidiwa majimbo 20 na pia wamekuwa wakizunguka kushawishi wengine kujiunga nao kwenda chauma kwa ahadi...
Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi na sio vyama au vyeo.
Tutaona mabadiliko makubwa. Walinde kura badala ya kuiba, walinde watu badala ya kuwateka na wapiganie haki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.