Hii sio sababu,mipango ya bwana yule mstaafu kukwamusha miradi yake
Litalipuka baadae, but litakuwa kubwa mnoAnacho kiongea ndio ukweli wenyewe.
na ili bomu litalipuka zaidi kipindi kidogo kijacho....
Akina LucaWatoto wengi wa kiume wanakata mauno tu
Ova
Mfano mwijakuKuna wakati huyu mzee anatema madini 😄
Ova
Uanaume wako utausimamia kwa kucha wakati ukinaniliu, lakini fursa za kielimu na kiuchumi vipo mikononi mwa wanawake kwa ubaguzi uliopo hivi sasa!Tusiache kuusimamja vizuri uanaume wetu
Sio kweliUanaume wako utausimamia kwa kucha wakati ukinaniliu, lakini fursa za kielimu na kiuchumi vipo mikononi mwa wanawake kwa ubaguzi uliopo hivi sasa!
Mzee unadhani nina neno la nyongeza?Sio kweli