Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni kweli kama uchaguzi ulikuwa mzuri na Mbowe alisimamia Demokrasia. Je hao G.55 walipatwa na nini. Njaa au kukosa maono ya maisha yao ya kisiasa. Asante Boni Umewasaidia Watanzania Bravo hotuba...
0 Reactions
1 Replies
589 Views
Kama Hamas ni watoto wa Mbwa, Basi maana yake Hamas ni Mbwa? Kwa nini Mahmoud Abbas anasema hivyo? Je kama hawa Hamas ni Mbwa na ndugu zao je? Maana wana watu ambao huwa wanawatetea na wao...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
1. Palitengenezwa zengwe KKKT Dayosisi ya Pare imegwe ili Mstaafu nae apate dayosisi wilayani mwake. Vurugu zukaanza kwenye sharika zilizopo wilayani Mwanga from nowhere. Aliyekua K/Mkuu KKKT...
10 Reactions
53 Replies
3K Views
Wafanyabiashara Walanguzi Kariakoo wametishia kuhama Chama ikiwa Wachina hawatolewa Kariakoo
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Tundu lissu atakapo achiliwa dunia itasimama kwa jinsi walivyo mfungulia njia zote za ikulu. Suala hili la kesi za mchongo limeongeza umaarufu wake duniani kote na imani zaidi kwa wananchi...
6 Reactions
7 Replies
427 Views
Katibu Mkuu Kiongozi wa Baraza Kivuli la Mawaziri wa ACT Wazalendo, Ndugu Idrisa Kweweta, leo Mei 18, 2025, amechukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kilwa Kusini kupitia tiketi ya chama...
0 Reactions
1 Replies
286 Views
Unaposhindana na Chama kilichojaa manguli wa kisheria waliosoma Sheria ndani na nje ya Tanzania tena kwenye vyuo bora kabisa duniani vinavyofahamika kutoa Wanasheria bora kabisa ni vizuri uwe...
21 Reactions
62 Replies
3K Views
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini Geofrey Kiliba awaambia Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu kuwachagua viongozi wanaotumia lugha nzuri ili kufikisha ujumbe au sera zao...
0 Reactions
7 Replies
549 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amewasili Geneva katika kampeni ya kusaka kura za mgombea wa Tanzania Prof. Mohammed Janabi katika...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Emanuela Orlandi (born 14 January 1968) was a Vatican teenager who mysteriously disappeared while returning home from music school in Rome on 22 June 1983.[2] The case received worldwide attention...
2 Reactions
10 Replies
613 Views
https://www.youtube.com/watch?v=lWxel_pUiVk Kiongozi Mkuu mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani Zitto Kabwe amefunguliwa Kesi na Harbinder Singh Seth akidaiwa kumkashifu mtu huyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeafatilia hili sekeseke la watumishi wetu wa umma wakijumuishwa na wakuu wa mikoa kununua viwanja huko Arusha kwa billions of shillings nikakumbua mwezi uliopita Governor wa Kenya (Kiambu...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Tume huru imekuja na mgawanyo wa majimbo. Arusha idadi ya watu 620,000 ina jimbo mmoja la uchaguzi. Mbeya idadi ya watu 540,000 majimbo mawili ya uchaguzi. Huu ni mfano mdogo ambao...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro kimejaza kwa muda nafasi mbalimbali za uongozi kufuatia kujitoa uanachama kwa waliokuwa viongozi. Waliojitoa unachama ni pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Wakuu, nimeona nilete huu mjadala hapa jukwaani kwa maslahi ya taifa letu. Ni mjadala mgumu lakini muhimu sana kwa kila Mtanzania mwenye uchungu na mustakabali wa nchi yetu. Tangu tupate uhuru...
2 Reactions
15 Replies
766 Views
Tahadhali zimetolowa kulingana na website ya ubalozi huo zilitolewa mfululuzo kwa kwanzia tarehe, 1 April, march 21 na May 15. ikitoa tahadhali za kiusalama kwa raia wake walio nchini kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
465 Views
Mwanaharakati mashuhuri Kanda ya ziwa,Thomas Nkola maarufu kwa jina la Mkulima, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha ACT Wazalendo kugombea ubunge katika Jimbo la Maswa Magharibi wilaya...
0 Reactions
2 Replies
500 Views
Tuna watu ambao wamenufaika na chama hiki wakakifanya kama mali binafsi. John Mrema alikuwa mkurugenzi wetu wa Habari na Uenezi na namtaja. YouTube channel ya chama inaitwa CHADEMA Digital...
54 Reactions
226 Replies
10K Views
Haya mambo ya utekaji yataondoka Unaona ilipokufa cuf Zanzibar imetulia? Ikifa chadema haya mambo ya watu kupotea yataondoka.
5 Reactions
23 Replies
858 Views
Baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kueleza kuwa Akaunti za chama za X (Twitter) na YouTube zimechukuliwa na John Mrema na kudai alikuwa akipata faida binafsi kupitia mitandao hiyo...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom