Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kigamboni, jijini Dar es Salaam, kimekemea na kulaani vikali vitendo vya baadhi ya watia nia wa nafasi za ubunge na udiwani kuanza kampeni kabla ya wakati...
Mkisikia Samia anasema nalinda nchi, mwambieni hulindi nchi bali unajilinda wewe mwenyewe.
Huwezi kukaa unatuambia unatulinda Watanzania, unalinda nchi wakati watoto wetu na ndugu zetu wanatekwa...
Nchi ya Tanzania inapitia kipindi kigumu sana wakati huu kuliko wakati mwingine wowote. Kelele, vilio, malalamiko na majonzi yametanda kila sehemu na wengi wakiwa na wasiwasi kama watakuwa salama...
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025
https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY
Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda leo Jumanne May 20, 2025 ameungana na Watanzania wengine kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwenye kituo cha Hospitali ya AICC...
Aliyekuwa Katibu wa Chama cha ACT Wazalendo Wilaya ya Songea, Bi Grace Mallya, tarehe 19/5/2025 ametangaza rasmi kuachana na chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, Husna Sungura, ameahidi kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi wa Jimbo la Chamanzi endapo atachaguliwa kuwa Mbunge wa jimbo hilo katika...
Walijiandaa kweli kweli kushangilia anguko....
Na target yao kamwe haikuwa yule mtaalamu, Bali Jk. Walianza kumshambulia tangu alipokuwa kule kwa yule Kamanda rafiki wa Putin........"oooh...
Mwaka juzi wa 2019 Mwezi November, JF Member My Son drink water aliwahi kusema kwamba "Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania, nashukuru Mungu tena dakika za mwisho TISS...
Katika dunia ya leo, suala la haki na amani lina umuhimu mkubwa katika maisha ya binadamu. Haki na amani ni misingi miwili muhimu ambayo inapaswa kutekelezwa kwa usawa ili kuhakikisha maendeleo...
Edgar Mwakalebela maarufu kama Sativa amelifadhili zoezi la Lissu kuchukua fomu yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA.
"Kuna wanachama wema wanaofikiri kama mimi, wanaofikiri kwamba...
Tangu jana, mara baada ya Wakili Tundu A.M. Lissu kutangaza kugombea uenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, kumekuwa na 'kuwapambanisha' Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe na Lissu kwenye uchaguzi wa...
Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii...
Roma Mkatoliki na wasanii wenzake kuongea na waandishi wa habari leo saa nane mchana katika Ukumbi wa Habari Maelezo, Posta Mpya, Dar.
==========
UPDATES
Mwakyembe akiongea na kujibu maswali...
Mpigania Uhuru wa Tanzania, Mdude Nyagali amekutana na kufanya Mazungumzo na Mwanasiasa wa Kenya Martha Karua.
Taarifa kamili hii hapa
Nimefurahi kukutana na Matha Karua, kiongozi wa People's...
Napenda kumshauri kada huyu wa CCM ambaye alitumia nguvu nyingi sana kumtetea ole Sabaya kwakua walikua ni genge moja, ametishia sana watu na kujiona kua yeye ndio chama na yeye ni kila kitu...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea...
Mwenye macho haambiwi tazama
Mwenye masikio haambiwi sikia
Watanganyika si mapoyoyo kiasi hicho kwamba hawaoni na hawaelewi kinachoendelea
Viongozi na wanachama wa CHADEMA kupigwa na kuteswa...