Haya maneno yanasemwa na mwanamke mmoja ambae ni rafiki mkubwa sana wa mke wangu tukiwa sebuleni mama huyo pia ni mtu mkubwa ngazi ya halmashauri. Kwakweli haikutegemewa Samia amfunike magufuli...
1. Huyu Mzee ndo ameifanyia mengi wilaya yetu ya Mwanga kufahamika duniani. Lami, hospitali za kutosha, free WiFi na Umeme mpaka Vijijini kuliko wilaya nyingi hapa Tanzania. Tunamshukuru kwa yote...
Kama sio ushirikina basi kuna aina fulani ya dawa wanatumia kwa kuwawekea kwenye chakula, kinywaji ama kupitia hewa
Mifano ipo mingi lakini tuangalie ya karibuni
Nadhani wote tunamkumbuka Peter...
Nadhani umaskini, ujinga ,uchama na uchawa ni maadui wakubwa sana wa Taifa hili la Tanzania.Ukweli unafichwa ,watu wenye mawazo ya kusaidia nchi wapo ,malighafi zipo ila maadui hawa wanaharibu...
Wakuu
Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu?
Na huyo anayewatuma huwa anatambua...
Wakuu,
Sitaki kuongeza maneno mengi maana naweza kuharibu uzi huu.
Ila huyu anaitwa Abdulrahim Hamidu ni Katibu Mkuu wa CCM (W) Kondoa.
Uchawa kwenye nchi yetu umefika kwenye viwango vya juu...
Na Ilunga Msekela Mpambanaji,
Wakati tunazidi kuhesabu siku za mwaka huu 2011 kuna mambo kadha wa kadha ambayo watanzania wanayazungumza , watanzania wengi ukiacha wale wenye nacho huwa na...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya Kusini magharibi mwa Tanzania kimetangaza kuvunja rasmi kambi iliyokuwa imewekwa kushinikiza kupatikana kwa kada wao, Mdude Nyagali...
Hili ni kuhusu kuchaguliwa kwa Papa Leo wa Kumi na Nne, kutoka kwa Jaji mmoja nchini Kenya ambaye si Mkatoliki.
Hon. Jaji Aggrey
Kuna aina ya hekima isiyopiga kelele. Haijitafutii umaarufu...
Nina mifano mingi.. Lakini kuwa na subra na kufuata utaratibu daima humpa mtu matokeo bora tena kwa wivu mkubwa Sana
Subiri wakati sahihi ufike ndio ufanye jambo lako kwa utaratibu uliowekwa...
Nani yuko nyuma ya CHAUMMA kwa muda mfupi hivi?
Kwa Kasi na udhamini huu Lazima CHAUMMA itapata wabunge wengi utakeusitake.
Nawaasa watakaopata ubunge kupitia CHAUMMA wasiende kuunga juhudi kwa...
Masaka, Uganda Kituo cha Utafiti cha Agora kimethibitisha kuwa mkurugenzi wao, Agather Atuhaire, ambaye tangu Jumatatu anashikiliwa na maafisa wa Tanzania, amepatikana asubuhi ya leo akiwa hai...
Huu ni wimbo maarufu, zamani ulikuwa ukiimbwa na wanaCCM kuahidi kuilinda CCM mpaka siku ya kifo chao. Baadae CHADEMA nao wakauchukua ukawa ni miongoni mwa nyimbo maarufu za chama, wakiapa na...
Watanzania wameshindwa kuwaunga mkono upinzani kwa kuwa hakuna chama cha upinzani nchini kilichojitanabaisha na mrengo au muelekeo flani .
Yaani hawana ideology ambayo mwananchi anaweza...
uasi = rebellion
A rebellion is a violent organized action by a large group of people who are trying to change their country's political system.
Rebellion: When a group of people openly and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.