"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda...
Naona pongezi zinatoka kila mahali baada ya serikali kuyafurusha magenge ya wahuni waliodhani Tanzania ni shamba la bibi.
Pia soma > Pre GE2025 - Serikali ya Kenya yajitenga na sakata la Martha...
https://youtu.be/l93YJzVm8z0?si=mhs-eCey82uYQAyP
Huu ni mjadala mzuri sana uliofanywa AzamTV ukimshirikisha Deus Kibamba (Mhadhiri wa mambo ya siasa ktk Chuo Cha Mwl Nyerere) na Mwenyekiti wa...
Kiufupi ni kama CHADEMA wamepigwa ganzi au shoti ya umeme wasijue wala kuelewa cha kufanya.
Wamejawa hofu sana na kwakweli wapoteza matumaini kwa haraka sana mitandaoni. CHAUMA wanakwenda kufuta...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 21 Mei, 2025 amekabidhi rasmi Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Mbunge kwa kipindi cha miaka mitano, 2020-2025 kwenye...
Nisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wale ambao hawana taarifa ni kwamba CHAUMMA wametangaza kuanza mikutano yao karibuni kwa siku 16 na wamesema watarusha chopa.
Kwanza...
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amewataka Watanzania kuitumia siku ya Mei 22, 2025 ambayo ni ya mwisho kujiandikisha katika vituo mbalimbali vya...
Akaunt hiyo imerudi hewani jana majira ya saa tano na dk 31 Usiku ikiwa verified
"Magufuli atashinda kwa zaidi ya 80%. Lissu atasaidia kuijenga upya CHADEMA lakini itatokea mifarakano ya...
Binafsi nimeshaandika mara kadhaa umuhimu wa kufufua kiwanda cha general tire Arusha kutokana na umuhimu wake kiuchumi. Sasa naona Makonda ameamua kupambana kufufua hichi kiwanda.
Sitaki kuamini...
Kwa Katiba ya Chadema Katibu mkuu, Naibu katibu mkuu na Mkurugenzi wa Mawasiliano ni nafasi za kuajiriwa Full time unalipwa Mshahara na kuwekewa akiba Nssf
Kadhalika Chaumma vyeo hivyo ni Ajira...
nilikuwa na wazo, kwa nini au kuna ubaya gani kama Tundu Lisu na wenzake wakijiunga na ccm? je, hamuoni kwamba labda wanaweza kuleta mapinduzi chanya zaidi na kufikia malengo yao wakiwa ndani ya...
Ukimsikiliza vema mtaalam hapo chini, utagundua anasema Kenya is far better kwenye Democracy kuliko Tanzania ambayo ipo kwenye dictatorship.
Ki international Diplomacy ….hii haijakaa sawa…. He is...
Wakuu Hii ni sehemu ya hotuba ya baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere aliyoitoa siku ya wafanyakazi Duniani Mei1, 1995 Mjini Mbeya. Pengine angekuwepo leo angesema 'No reforms No election'
===
Hoja...
Hali ilikuwa tete baada ya video ya mikutano wa Julius Malema kuoneshwa kwenye kikao cha Trump na Ramaphosa
Huko duniani wana demokrasia ya aina yake Chadema jifunzeni
Nimemsikiliza John Mrema, hii kichwa ni mali sana, ana uwezo mkubwa. One vs one Lissu na Mrema, Lissu anapigwa knock out dakika ya pili. Na atakimbilia kwenye kashfa na matusi
Mrema ni genius...
Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ameungana na Watanzania wengine katika zoezi la kuboresha taarifa za Mpiga Kura kwa mwaka 2025, ambapo leo ameboresha taarifa zake katika shule ya Amani...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ni miongoni mwa walionaswa na kamera za Jambo TV japa Ubungo Plaza kwenye Grand Reception ya Chama...
Kwa kifupi mzee Rungwe ameshazeeka namuona hapa kupitia ITV
Ni dhahiri sasa Tundu Lisu ameachiwa rasmi tena BURE chama cha Chadema
Ahsanteni sana
Ukiwaona ITV wanarusha ujue tu🥷 hayuko mbali 😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.