Ndugu zangu Watanzania, huu si wakati wa kimya. Tumevumilia kwa muda mrefu. Sasa ni wakati wa unfiltered truth. Tuko katika kipindi ambapo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepoteza...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Arusha kimeeleza kusikitishwa na taarifa ya kuzuiwa kufanya mkutano wao wa hadhara uliopangwa kufanyika kesho Mei 28, 2025, katika viwanja vya...
Wakati ninakua ile miaka ya 1971 nikiwa shule ya msingi kulikuwa Kuna hype kubwa ya kauli na maazimio mengi ya kisiasa. Na wakati ule kujiunga na TANU youth league ilikuwa kama ni lazima fulani...
Hii ni zaidi fezea.
https://www.youtube.com/live/toeAMRhpOZ0?si=V_T-07W3gayr4V6n
Vijana wanasema Gwajima ana sehemu nyingi kufikisha taarifa hiyo lakini kaamua kwenda kwenye media na kwa...
TAKE IT SERIOUSLY
Huyu mtu anatafuta sababu ya kuifuta chadema. Msifanye kosa, nendeni mahakamani mfungue kesi kupinga maamuzi yake. Msidharau kauli zake maana zina maagizo ya mteule wake!
Hawa...
Ni aibu kubwa kwa taifa bunge zima tangu utekaji umetamalaki wanakaa kimya amejitokeza mmoja wao Askofu Joseph Gwajima akatoa ushauri tena nje ya bunge kuhusu utekaji unaoendelea ameonekana...
Sabato Njema!
Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana.
Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku...
No maneno mob, we sikiza huyo mzee vile anabonga. Points mingi sana
"Na mie mtu anayeniikosoa nampenda zaidi kuliko anayenisifia kwa sababu mtu anayekusifia mana yake wewe unakuwa hujui kama...
katika siku za karibuni tUmeona wanasiasa wenye UCHU wa mamlaka, CHAUMA kimekua kimbilio kwao, hii ni baada ya chama chao kutaka mabadiliko yakimfumo na kugomea kushiriki uchaguzi mkuu wa october...
Wakati fulani, Prof. Mwandosya na wengine walipendekeza kwamba mtu anapokuwa Rais, basi kama alikuwa mwenyekiti wa chama, akome kuwa na hiyo nafasi; kwamba tusiwe na raisi mwenye kofia mbili; Rais...
Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka...
Wanabodi
https://www.youtube.com/live/_ZEl6lsHc4c?si=osZPZ2LFfZc6ACe3
Naangalia TBC live mubashara, Katibu Mwenezi wa CCM, CPA Amos Makala, ametoa siri ya ushindi wa Chama cha Mapinduzi, CCM...
Asalam aleykum!,
Kwa uoni wangu hafifu, ningeliomba waandamizi na kamati zote za kiusalama, kuyajadili madhaifu yote yanayolalamikiwa na hatimaye kuja na suluhisho moja, namna jinsi...
Rashda naandika
Katika siku za hivi karibuni, suala la wanaharakati kutoka nje ya nchi kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania limezua gumzo. Mwanasiasa mashuhuri kutoka Kenya, Martha Karua, pamoja...
Hivi hii tuiteje kweli? Kufuru dhidi Mungu Yehova, ujinga, upumbavu au ni kilele cha kiburi cha CCM na watawala wao..?
Mimi nimejaribu kufikiri huyu mbunge alikuwa amefikiri nini kumtetea Rais...
https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg
"Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili...
Leo mapema tu nikiwa natoka zangu Nakuru to Nairobi along the A104 highway (Nairobi-Nakuru Highway), nilipofika pale Kayole pande za Naivasha nikaona ninunue some drink and bites za kunipa...
Kama unabisha Fanya Utafiti utujuze taasisi gani iwe ya umma au NGO inaizidi CCM
1. CCM ina rasilimali kila Mkoa na Wilaya hadi kata
2. CCM ina Wanachama kila mtaa
3. CCM ina mbunge kila...
Kuna vitu vingine vinafanywa na serikali na CCM na serikali yake hadi vinatia aibu. Kila mtu anajua wakati wa uchaguzi wa Chadema Lissu Vs Mbowe, serikali na CCM walifanya kila wawezalo ili Mbowe...