Wakati ninakua ile miaka ya 1971 nikiwa shule ya msingi kulikuwa Kuna hype kubwa ya kauli na maazimio mengi ya kisiasa. Na wakati ule kujiunga na TANU youth league ilikuwa kama ni lazima fulani hivi.
Kauli au ahadi mmojawapo ya TANU ilikuwa "nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko".
Nikikumbuka ahadi hii ya mwanatanu na yanayoendelea sasa ndani ya CCM napata tafakuri nyingi. Mfano kati ya Gwajima na akina Tarimba, Musukuma na hawa wengine wanaomshambulia Gwajima ni yupi anayesimamia misingi ya Imani ya CCM toka enzi za Nyerere na TANU?
Nani msema kweli hapo kati ya Gwajima na akina Muro na Musukuma? Nani aliyekengeuka?
Au msemo umebadilika? Kuwa " nitasema uongo daima fitina kwangu halali"?
Kweli CCM bado wanaojiona Wana uhalali wa kuongoza? Hila, wizi, uongo, uuaji, utekaji, ufisadi na Kila aina ya Hila.
Mmeoza kiasi cha kumkasirikia Kila anayesimamia kweli